Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oi kuna options za '1 cut, au 1 flex' mfano kweny sportybet zipo.
Mwenye ufahamu juu ya hizi kitu anijuze nizifahamu aise
 
Ndugu zangu

Galatasaray win and GG mnaiona ikitoa

Mechi tano za mwisho Galatasaray ametoa GG

Mechi 5 za mwisho za BB 4 ametoa GG

Je leo Atatoa maana odds zake zinanitamanisha
Weka mechi moja tu hyo inatoa galatasaray ana beki sio nzuri sana ila forward line yake nzuri hyo mechi kutoa Gg ina asilimia kubwa! Correct score inaweza ikawa 3-2 leo au 3-1
 
Katika mechi 5 walipokutana ambazo baselona alipata magoli, ni mechi 4 baselona alipata goli katika kipindi cha kwanza, na mechi 1 tu hakupata goli.
Mechi ipo uchi hiyo odds 1.61 hizo hapo, ikichana ni bahati mbaya maana ni betting.

Baselona over 0.5 1Half. Huu ni uchambuzi wa betting, Sio uchambuzi wa kitaalam.
 
Uchambuzi WON
 
Jf bwana kuna watu wanachambua Sana mpira, ukitaka Kula mikeka then soma comments za watu
Humu tunachambua kwa jicho la hela. Hatuchambui kitaalam na kishabiki.
Mfano tunachambua timu fulani zikikutana kwa vyovyote vile magolikipa wote watagusa mpira ndani ya dakika 3. Uchambuzi kama huu huwezi kusikia redioni.
 
Humu tunachambua kwa jicho la hela. Hatuchambui kitaalam na kishabiki.
Mfano tunachambua timu fulani zikikutana kwa vyovyote vile magolikipa wote watagusa mpira ndani ya dakika 3. Uchambuzi kama huu huwezi kusikia redioni.

Haha na huu ndio uchambuzi mzuri sasa, uwez kupata popote
 
View attachment 3196028
Roll Over Day 2

Code >> > PZXVY

BETIA MELBET

Jisajili Melbet Hapa Kubet๐Ÿ‘‡

https://mlbt.cc/40coprj

https://mlbt.cc/40coprj

Promo Code๐Ÿ‘‰ TIPS2424

ROLL OVER DAY 2 WON โœ…โœ…โœ…โœ…๐Ÿš€๐Ÿš€๐Ÿ’ฏ๐Ÿ†๐Ÿ†โœ…โœ…

Usikose Roll Over Ya Leo. Jisajili Melbet Hapa โฌ‡๏ธ, Deposit , Kisha Subiri Code.

https://mlbt.cc/40coprj

https://mlbt.cc/40coprj

Promo Code>>> TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200%.
 
Hawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...
Watu kweli wanalalamika sana kuhusu hii kampuni, ila kwa upande wangu haijawahi nifelisha kabisa, na mara ya mwisho nimetoa asubuhi tu
 

Attachments

  • Screenshot_20250109-113148_PariPesa.jpg
    161.5 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ