Pumba Master
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 144
- 176
Oi kuna options za '1 cut, au 1 flex' mfano kweny sportybet zipo.
Mwenye ufahamu juu ya hizi kitu anijuze nizifahamu aise
Mwenye ufahamu juu ya hizi kitu anijuze nizifahamu aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mechi moja tu hyo inatoa galatasaray ana beki sio nzuri sana ila forward line yake nzuri hyo mechi kutoa Gg ina asilimia kubwa! Correct score inaweza ikawa 3-2 leo au 3-1Ndugu zangu
Galatasaray win and GG mnaiona ikitoa
Mechi tano za mwisho Galatasaray ametoa GG
Mechi 5 za mwisho za BB 4 ametoa GG
Je leo Atatoa maana odds zake zinanitamanisha
Sawa mkuuWeka mechi moja tu hyo inatoa galatasaray ana beki sio nzuri sana ila forward line yake nzuri hyo mechi kutoa Gg ina asilimia kubwa! Correct score inaweza ikawa 3-2 leo au 3-1
Uchambuzi WONKatika mechi 5 walipokutana ambazo baselona alipata magoli, ni mechi 4 baselona alipata goli katika kipindi cha kwanza, na mechi 1 tu hakupata goli.
Mechi ipo uchi hiyo odds 1.61 hizo hapo, ikichana ni bahati mbaya maana ni betting.
Baselona over 0.5 1Half.View attachment 3196197 Huu ni uchambuzi wa betting, Sio uchambuzi wa kitaalam.
Uchambuzi WON
Humu tunachambua kwa jicho la hela. Hatuchambui kitaalam na kishabiki.Jf bwana kuna watu wanachambua Sana mpira, ukitaka Kula mikeka then soma comments za watu
Weka mechi moja tu hyo inatoa galatasaray ana beki sio nzuri sana ila forward line yake nzuri hyo mechi kutoa Gg ina asilimia kubwa! Correct score inaweza ikawa 3-2 leo au 3-1
Humu tunachambua kwa jicho la hela. Hatuchambui kitaalam na kishabiki.
Mfano tunachambua timu fulani zikikutana kwa vyovyote vile magolikipa wote watagusa mpira ndani ya dakika 3. Uchambuzi kama huu huwezi kusikia redioni.
View attachment 3196028
Roll Over Day 2
Code >> > PZXVY
BETIA MELBET
Jisajili Melbet Hapa Kubet👇
https://mlbt.cc/40coprj
https://mlbt.cc/40coprj
Promo Code👉 TIPS2424
Hawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...View attachment 3190441
CHINA BASKETBALL 🏀
Code>>> CCG1U
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.
Bet on PariPesa Here ⬇️
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code👉 TIPS2424
Mkuu pole sana kwa changamoto hiyo. Uliwasiliana nao Kupitia email hii payments-support@paripesa.com?Hawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...
Mi tokea tarehe 2.Hawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...
Hiyo sio kampuni, watu qashalalamika sana humu.Hawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...
Watu kweli wanalalamika sana kuhusu hii kampuni, ila kwa upande wangu haijawahi nifelisha kabisa, na mara ya mwisho nimetoa asubuhi tuHawa jamaa zako chenga sana.... Mpaka Leo tangu tarehe 1 January mpaka Leo tarehe 9 hela haijafika na kwenye akaunti hawajarudisha na nimewasiliana nao Kwa email. Jau sana...