Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

milan nilimpa dc, sporting nilimpa ashinde, juve nikampa dc,

maajabu ni kwamba hao watatu walikua mikeka 3 tofauti, zingine zote zimetiki ila hao wajinga tu.......

mkeka aliochana sporting niliwapa direct win psg, dort, lile, psv, city, madrid, atletico ..odds zilikua karibu 80!

anyway, ilikua siku mbaya kazini
 
Leo sijadeal na ushindi Yan nimeweka magoli tu huwezi amini mpaka mikeka mingnine nimeweka over 3.5 goals na imetoa leo ilikuwa ni siku nzuri kwa magoli
 
Wakuu vipi utabili wa soko la leo au mnakula kwanza hela ya muhind
 


Haya ndio mambo tunataka kwenye hili jukwaaa

Analysis mzuri ili mtu ujiamulie mwenyewe
 
Walizingua sana jana ila matreni yangu Leipzig alipita nayo
bora nikomae na SP kuliko hawa wapuuzi wanaofanya update ya app alafu wanaleta mambo ya hovyo ,huwezi amini game 14 zilitiki kati ya 18 alafu wakafunga mtandao then game zimeisha mtandao ukawa sawa nikakuta juve na young boys tu ndio wamezingua kupata goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…