Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu, hadi leo meridian wanazingua mbaya...nimeamua kuhamia premier ila nimedoposit mpunga lakini bado haujasoma kwenye account. je inachukua masaa mangapi salio kusoma? mimi mgeni hapa.
Haichuku hata DKK 3....
 
hivo ndo ilivo , itakuwa ndo mara ya kwanza unaweka mzigo wewe
Ndio naweka mara ya kwanza mkuu kuingia premier....yaani jamaa wamekula pesa yangu mara 2 na nimeangalia kwenye mtandao wao sioni namba ya kuwapigia. Mkuu, unaweza kuniwekea hapa STEPS za kudeposit hela maana naona nazidi kuliwa bila sababu. steps wanazonipa kwenye mtandao hazieleweki...matokeo yake nadeposit hela kwenye reference number tofauti kila wakati. hv REFERENCE NUMBER ndiyo ACCOUNT ID ama?
 
wakuu, mbona hawa premier ni kama matapeli? mara ya kwanza nimedeposit wakaniletea reference number nyingine na sasa tena wananiletea reference number tofauti! hawa vipi?
View attachment 388576
Unapooomba reference number inakuja mpya lakini series ya Namba ni inafuatana .. Hata ukiomba tena watakupa mpya.... Reference number yao inabadilika
 
Unapooomba reference number inakuja mpya lakini series ya Namba ni inafuatana .. Hata ukiomba tena watakupa mpya.... Reference number yao inabadilika
sasa mbona hakuna mahali pa kuingiza ACCOUNT ID ili hela ziingie kwenye akaunti yangu? hizi REFERENCE NUMBER tofautitofauti ndio zinakula hela zangu. mpaka sasa akunti insoma zero:
 
aisee baada ya vichapo heavy nimewithdraw kasalio kaliko baki toka jana saa 4 usiku mpaka sasa hawajatuma hawa meridian bana ni jipu mkeka nao option chache kweli dah
 
sasa mbona hakuna mahali pa kuingiza ACCOUNT ID ili hela ziingie kwenye akaunti yangu? hizi REFERENCE NUMBER tofautitofauti ndio zinakula hela zangu. mpaka sasa akunti insoma zero:
View attachment 388580
brother hizo ni kampuni mbili tofauti kati ya premier na meridian na taratibu zao za kudeposit ni tofauti pia.

kwenye premier hiyo ref number ndio kama acc ID kwa meridian na ndio inawezesha pesa yako kudisplay kwenye account yako ya premierbt.


kuhusu utofauti wa kila unapo taka kudeposit wana jenereti namba tofauti tofauti hawana namba maalumu just like m-bet n.k kama umewahi kuwatumia.
 
U
sasa mbona hakuna mahali pa kuingiza ACCOUNT ID ili hela ziingie kwenye akaunti yangu? hizi REFERENCE NUMBER tofautitofauti ndio zinakula hela zangu. mpaka sasa akunti insoma zero:
View attachment 388580
Unachanganya madesa..... Sio meridian hawa uingize account ID..... Ni reference number utayopewa na kampuni Namba 500700 basi.... Na utumie Namba ya simu uliyojisajilia.....
 
aisee baada ya vichapo heavy nimewithdraw kasalio kaliko baki toka jana saa 4 usiku mpaka sasa hawajatuma hawa meridian bana ni jipu mkeka nao option chache kweli dah
Wehu kabisa.... Fanatic hang any a be a rule vizuri
 
Kwa sasa watu wengi wanao bet online wameachana na meridian kutokana na usumbufu wao mambo yapo Mkekabet hakuna usumbufu kwenye kutoa hela Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…