Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee kuna hii thread naona inatuchafua maafisa ubashiri, sababu za jamaa kuleft group zaweza kuwa nyingi.
Ila naona muandishi kaamua singizia ubashiri.
 
Hii ni zaidi ya kujitoa muhanda, siyo rahisi kabisa matokeo yote ya mechi 3 yaishe hivi, it is very unlikely.
Bora hata uzipe hizi mechi over 1.5 goals au over 2.5 goals.
Hapo niliwatoa Buyern na Al ahly lakini naona hadi muda huu wanaongoza 😂
 
Huku tunapambana wenyewe, peleka yale majukwaa ya wanaotaka serikali iwapambanie.
Sawasawa mkuu. Yangu simulizi kwa wale wapendao kusoma simulizi za kikwetu Afrika Mashariki. Wewe una ishara asilimia mia za kutopenda kazi za waandishi wetu. Kwa taarifa yako kuna wale wanaopenda kuzisoma kazi hizi zenye hekima💯💯
I come in peace
 
Tunawaambia man city ni mbovu ila kuna watu bado watampa ashinde 😄! Vikosi si mmeviona wenyewe jamani Pale mbele kwa Madrid kuna mbape, Rodrigo na Vini! Leo Man city anaweza asifunge hata goli moja! Beki za akanji na ake sio wa kuwazuia madogo hao watatu wa Madrid! Mpe Madrid 2up mapema unatik mkeka wako leo na Juve mpe win halafu tulia Kolo muani hawezi kutuangusha
 
Wazee wa live ni muda wetu huu wa kufuatilia gem na kuruka nayo.Nadhan gem ya city itakuwa na magoli.Nimekosa kibundaa gem ya psg ya city kanji itabidi akae.
 
Mi ngoja kwanza niweke akiba ya maneno japokua nilimfuata Madrid mazimaaa 😳
 
Madrid kashatema mpunga na kazi imeisha kwa leo.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-12-00-27-12-807_com.android.chrome.jpg
    195.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…