Pale England Championship tunakutana na kibonde Plymouth aliemkamia liver kwenye Fa na akampiga liver moja! Baada ya Kocha wao Wayne Rooney kufukuzwa naona kocha aliekuja hapo plymouth anajitafuta na kutokana na nguvu kubwa aliyotumia kwenye mechi ya Fa na Liverpool japo alishinda haimtoi kwenye nafasi ya ukibonge na timu mbaya na leo anakutana na Milwall ambao wao wapo kwenye form nzuri hivyo Milwall hapo mpe Win kabisa halafu tulia! Halafu kuna Bunley naona anakomaa sana ili arudi ligi kuu ya England sio mzuri sana wa kufunga hivyo mechi yake sio ya magoli sana! Anakutana na Hull city hivyo mpe Bunley win or draw maana hakawii kutoa 0-0 ila kufungwa nyumban Hilo ni ngumu! Tunakuja ligi ya mabingwa Uefa tunakutana na Atlanta anacheza na Club Blugge! Kimchezaj mmoja mmoja Atlanta yuko vizuri na kumbuka ndio bingwa wa Europa mwaka jana kwa kumpiga Leverkusen 3 bila! Leo kwenye mtoano hawezi kupigwa na club brugge ila kutoa dro inawezekana! Mpe Atlanta win or draw maana ni timu kali sio sawa na Club brugge! Bayern na Celtic hapo mpe Bayern atoe magoli mawili pekee yake maana kwa ufungaji yuko vizuri! Na benfica na Monaco ipe magoli mawili mechi nzima maana ushindi hapo anaweza kushinda yoyote! Halafu tulia usiongoze mechi hapo umetosha kabisa kanji hana huruma na pesa yako