HABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.
Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.
Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu "Approved (please wait to receive the final status from the payment system)"
Na ukiufungua wananambia "Transaction is being processed. Awaiting operator confirmation"
Nimecheki nao Kwa email hawajibu, ukirequest wakupigie wanakupigia ila MWISHO hawana msaada wanakuelekeza KUFANYA mawasiliano Kwa njia ya email.
Nimestuck na matumaini ya kuzipata fedha zangu yanapungua note. Ni zaidi ya 1 million.