Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuta unasikiliza ule wimbo unaitwa "kosa la marehemu" uku ukivuta muda
 
Nadhani hapo ndo kulikuwa na changamoto kutoa tofauti na mtandao uliojisajilia
 
sasa mkuu hizo options za takles,Dribbling,interceptions na aerial won zina maana gani.. kwani sio vema kucheza options ambazo huzijui au huzielewi vizuri..embu tufafanulie hizo twende sawa
 
Kuna wengine ndio kazi yao humu, wengine wanatafuta odds kwa ajili ya vita na kupata hela kwa mhindi, wengine kutwa kuleta links ili wale hela ya mbetiji.

Hata mimi nishawahi kula 70,000 ya affiliate 1xbet but sikuweza mkazo sana kwamba ndio source of inc9me.
 
nakumbuka kwenye chain yangu ya affiliate zilikuwepo zaidi ya account 100 zinazonigawia kamisheni, bahati mbaya sikuwahi kuwithdraw hata mia zote zilikuwa zinaishia humo ndio ujue kamari ni sumu ya maendeleo ya mtu
 
yaani hata ukiweka mechi ichezwe utakuta imegairishwa unaliwa
Hahaha! Dah! Yaani mpaka unashangaa.

Unaona labda unaliwa kwa sababu unabeti pre match, unaamua uhamie kwenye live.
Unaikuta mechi ipo dakika ya 86 na matokeo ni 0:0.
Unaamua kubeti under 1.5 odds 1.11.
Ukibonyeza tu, dakika ya 87 goli na dakika ya 90 goli.
Yaani hapo lazima utukane kwa sauti hata kama uko peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…