Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Senegal wanashindwa vipi kumfunga sudan
Tangu 2023 huyo sudani kapoteza dhidi ya kichwa cha mwenda wazimu pekee kwenye friendly match. Mambo yanabadilika
Hapa nimejaribu kuzungushia vigogo walioshindwa kufua dafu kwenye michuano yote ya hivi karibuni anayoshiriki sudan
 
Nimeangalia rekodi yao pia nikagundua nilikulupuka kwenda mazima na senegal
 
Sikatai Mimi ni fala ila mwenzangu umenizidi ufala aisee
Hapo ulikuwa ukitaka nn au ndo kusema stake high?!
 
Daa! Hizi timu za taifa pasua kichwa sana. Unakuta odds 20+ vs 1.04 ukimpa mwenye mdogo anashinda mwenye kubwa au draw. Mfano Jana sizani kama Kuna aliyemnyima Senegal. KWA HIVYO NDUGU WAPENDWA 26MARCH TUMPENI TANZANIA, TUMPASUE KANJI.
 
Wakuu hii option ina maanisha nini?
"1Half booking points Under 5.5".
 
Kamali hailipi kijana fanya kazi
Mi nimeamua kubeti kwenye kilimo maana nako ni full kanjibai nikitegea Wasira ajiuzuru nitembelee vieite full kipupwe na nyumba nzuri ila silipwi mshahara na wala siuhitaji sema sitakuwa navaa kaunda suti na ile mibuti yake hapo ntabadiri nivae mchongoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…