Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi paripesa hapana, malalamiko yamekuwa mengi mno.
Nimekomaa na melbet, 888starz na megapari.
Kilichonirudisha 1xbet ni hiyo hela yao ya siku ya kuzaliwa ila ndio nimeshahama tena.
 
Hatari jana muhindi kafurahiiii sana...🤣🤣🤣🤣
Nahitaji game ya magoli 2, game tatu tuu mkkuu
Mkuu kwa mtazamo wangu over 1.5 inaweza kutokea kwa

Manchester Derby
Hawa wote wamechoka na wana defense mbovu zinaruhusu sana magoli

Singida black stars Vs Azam
Hapa kila timu inauwezekano mkubwa wa kuscore

Ajax na Atalanta nao sio wabaya sana kwenye kufunga magoli mengi na kufungwa pia
 
Paripesa anaongoza kwa ubabaishaji labda kama unadeposit tu huwezi kujua uhuni wao hadi uanze kitoa hela

Ukitumia mawakala waliowekwa kwenyw app ya 1xbet haswa Romano hutajuta mkuu
Na kama hutaki kukatwa kodi basi tumia Megapari nao wanajitahidi

NB
Ukitaka kujua uhuni wa mrusi basi mpige hela ndefu
 
Hata melbet Mhode yuko poa na fasta sana, yupo pia huko 1xbet.
Hao paripesa jinsi malalamiko yalivyo mengi sijawahi haja kujisajili.
 
Hata melbet Mhode yuko poa na fasta sana, yupo pia huko 1xbet.
Hao paripesa jinsi malalamiko yalivyo mengi sijawahi haja kujisajili.
Mkuu malalamiko yalikuwa pale mwanzoni, ila sasa hivi kila kitu kiko sawa. Nothing to worry about.
 
Rquest kupiga simu
 
tatizo hawataki kukubali na hizo kampuni zinafanana kila kitu ila wanasema hawataki makato ya kodi na kama hawataki kodi mbona hapa bongo kuna Db bet,888starz na Linebet hawa wote hawakati kodi hata thumni una deposit na ku withdrawal kwa m pesa,tigo pesa,airtel money bila shida yoyote lakini bado wabishi huko 1xbet mlolongo mrefu kusumbuana na mawakala..hata hawajui wanataka nini ni kuwaacha tu
 
Mbona kampuni zote umetaja ni tia maji tu. Dunia ya sasa ukiruhusu 3rd party kwa vitu ambavyo wenhine wengi wamemuondoa 3rd party basi wewe ndiyo unakuwa mjinga. Na siku ukitapeliwa usilalamike.
 
2025 kama unafanya deposit ya stake kupitia kwa agent wewe pia utakuwa na mjinga, kwa sababu unaisaidia kampuni husika kukwepa kodi na mkono wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…