Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 458
- 609
Hizi kampuni za mifukoni ni utapeli mtupu, hadi benki za Tz zimejiunga direct na kampuni za betting. Kuna mjinga aja hapa kupromote kampuni ambazo haziruhusu direct deposit. Ni utapeli tuKila siku jisajili na pari pesa hapa du! Inanikera sana na hiz mambo za huyo jamaa
Tusubiri siku wakimbie na hela zao2025 kama unafanya deposit ya stake kupitia kwa agent wewe pia utakuwa na mjinga, kwa sababu unaisaidia kampuni husika kukwepa kodi na mkono wa serikali.
Asilimia kubwa ya kampuni zinazo tangaza bonus ya first deposit ni za kitapeliHizi kampuni za mifukoni ni utapeli mtupu, hadi benki za Tz zimejiunga direct na kampuni za betting. Kuna mjinga aja hapa kupromote kampuni ambazo haziruhusu direct deposit. Ni utapeli tu
Kwanini bado mnazikomaa nazo?Kampuni zote za mrusi ukichanganya miamala wakati wa kudeposit ujue kwenye kutoa shughuli unayo
Hakikisha wakati unafanya deposit kwa njia nyingine basi acc iwe no ziro balansi
Mkuu hizi kampuni za Mrusi ukiondoa Betwinner tunalazimisha tu kuzitumia lakini hazipo kihalali, hizi njia za mawakala na mobile wanaziweka kinyemela tu
Na siku ukidhulumiwa hatuna pa kwenda kulalamikia
Baada ya celtic kuchana nikaamua ku re-use selections kilicho nipata du!Hakika matokeo ya weekend hii ya time kubwa ni vilio vitupu. Nashauri afisa yeyote asifanye rebet kama mkeka umechanika. Tuiache leo na kesho ipite.
Tijipange kwa wekeend ijayo.
Hao mawakala wanahesabika kama wahujumu uchumiKwanini bado mnazikomaa nazo?
Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
Kanji hacheki na mtu hapo ajax peke yake katoboaMkuu kwa mtazamo wangu over 1.5 inaweza kutokea kwa
Manchester Derby
Hawa wote wamechoka na wana defense mbovu zinaruhusu sana magoli
Singida black stars Vs Azam
Hapa kila timu inauwezekano mkubwa wa kuscore
Ajax na Atalanta nao sio wabaya sana kwenye kufunga magoli mengi na kufungwa pia
Mblock hutaona matangazo yake.Kila siku jisajili na pari pesa hapa du! Inanikera sana na hiz mambo za huyo jamaa
Acha ujinga wa kuzitetea kampuni za hovyo mambo ipo hukuMblock hutaona matangazo yake.
Kukwambia umblock ndio natetea kampuni ya ovyo?Acha ujinga wa kuzitetea kampuni za hovyo mambo ipo huku
Weekend hii imekua ngumu sana aiseeKanji hacheki na mtu hapo ajax peke yake katoboa
masoko mengi yalikuwa hayatoi mpungaWeekend hii imekua ngumu sana aisee
Bet zangu zote zime lost
Man Derby imekwanda nyau nyau
2025 kama unafanya deposit ya stake kupitia kwa agent wewe pia utakuwa na mjinga, kwa sababu unaisaidia kampuni husika kukwepa kodi na mkono wa serikali.
Huku tuna bet at our own RISK mkuu.... wakamalia wageni ndio hawajajua bado.Kwanini bado mnazikomaa nazo?
Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
Hata sportpesa.Cash out ya betpawa inataka direct win ukienda k0mbo utakuta dakika ya kwanza had 90 hakuna cash out