Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Wiki mbili faida 7000!!?? Consistency ni tatizo juzi nilibakiwa na risasi moja nkapata 22000 .... Jana imebaki 17000 Leo nkipigwa inabaki 12000 .... Hivyo Leo na kesho sitakiwi kupigwa.....Hahahah ... mkuu hiyo plan ni nzr sn, I have no problems with it. Ila aisee inatakiwa uwe na consistency ya kufa mtu ...
Nafikiri hiii lugha aliitoa Raimundo au Rockcity native alisema "wachina wa kikapu warefu magoli mafupi mapana"...,na hao wafilipi yani point 200 nilisema ni kugusa tu.......
Nafikiri hiii lugha aliitoa Raimundo au Rockcity native alisema "wachina wa kikapu warefu magoli mafupi mapana"...,na hao wafilipi yani point 200 nilisema ni kugusa tu.......
Wiki mbili faida 7000!!?? Consistency ni tatizo juzi nilibakiwa na risasi moja nkapata 22000 .... Jana imebaki 17000 Leo nkipigwa inabaki 12000 .... Hivyo Leo na kesho sitakiwi kupigwa.....
Kwa kuamini kuwa Playoffs zitakuwa na ushindani mkubwa, naamini watakaziana ... basi leo ngoja nifanye kazi ya kuyabinyaaaa ... odds 5.74
View attachment 390902
Ili uwe na uhakika wa kula hyo pesa n kuicheza over pale walivyokuwa halftime, na k..moto nae anakuja na spidi ya jetKobe vs Urawa wameshatafuta sifa ... natakiwa kuyabinya kwa kiwango cha lami. Yani second half lisipatikane goli [emoji134]
Yaani sikuwa na Capital leoDah japan wote wametoa gg
ila izo odd sasaDah japan wote wametoa gg
Dah japan wote wametoa gg
Dah...asante sana Omiya, under 2.5 imegoma na upo kwenye mikeka yote, hali mbaya sana sasa.
Ukiwapa hawatoi
poledaaa jana nlianza kuweka 100k timu tatu tu na ile ya basket ya usiku ikashindwa toa over acording to bankocep yaan nikawa kama nimepigwa shoti,, hebu nipeni pole jaman