Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo game za international nazijarib kwa half with most goals kipind cha pili
 
Malta kashazingua
 
Naona mhindi analeta utani hapa, wacha nilipe kodi hapa. Maombi yenu jamani lkn pia kama unaweza kunifuta karibu. Odd sasa zinazidi kupanda. Haiwezekani hii mechi ikose hata goli moja.
 
Yaaaaaaaap! Kodi hiyo elfu 27 kwa JPM.

Lkn wadau kwa nini tunakatwa pesa za kodi mpaka kwenye mtaji? Ilitakiwa kodi ikatwe kwenye faida tu, na tukuliwa tena mhindi alipe kodi.
 
Yaaaaaaaap! Kodi hiyo elfu 27 kwa JPM.

Lkn wadau kwa nini tunakatwa pesa za kodi mpaka kwenye mtaji? Ilitakiwa kodi ikatwe kwenye faida tu, na tukuliwa tena mhindi alipe kodi.
Mkuu iyo 27 imekatwa kwenye faida tuu... fanya simple calculation utaona
 
Yaaaaaaaap! Kodi hiyo elfu 27 kwa JPM.

Lkn wadau kwa nini tunakatwa pesa za kodi mpaka kwenye mtaji? Ilitakiwa kodi ikatwe kwenye faida tu, na tukuliwa tena mhindi alipe kodi.
Kijana fanya hesabu hiyo ni ya darasa la 5...wamekukata kwenye faida
 
Yaaaaaaaap! Kodi hiyo elfu 27 kwa JPM.

Lkn wadau kwa nini tunakatwa pesa za kodi mpaka kwenye mtaji? Ilitakiwa kodi ikatwe kwenye faida tu, na tukuliwa tena mhindi alipe kodi.
Premier hawakatii mbn mnawakimbia
 
Leo premier wanamatatzo gani ? Nmeshindwa kubet ni mm tu ? Au kuna mwengine kapata hii shida ?
 
Euro Basket Qualification zinaendelea wakuu, live in-play ni deal zaidi.

Nyingi zinatoa under.
Hatari sana mjomba..... 5000 imeenda tena .......mamaaaae ......
 

Attachments

  • Screenshot_2016-09-01-07-00-12.png
    37.8 KB · Views: 42
Natumia tigo pesa kuweka hela premier bet hazifiki, mwezi sasa tigo wananizungusha na masaa yao 72, premier nao nimewaandikia email wapo kimya, hv natoka vp katika hali hii??
 
South Korea - China
Over 1.5 goals (full Time)
1.42

Australia - Iraq
Over 1.5 goals (First Half)
2.59

Japan - United Arab Emirates
Over 1.5 goals (First Half)
2.25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…