Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Australia - Iraq
Over 2.5 goals
1.86

Japan - United Arab Emirates
Over 2.5 goals
1.63

South Korea - China
Over 2.5 goals
2.29

Total odds 6.72
 
Natumia tigo pesa kuweka hela premier bet hazifiki, mwezi sasa tigo wananizungusha na masaa yao 72, premier nao nimewaandikia email wapo kimya, hv natoka vp katika hali hii??
Tigo wanasumbua sana Mimi 80000 imepotea sasa miezi 3
 
Primier bet sijawaelewa..sasa hivi ukitengeneza mkeka ukitaka kuweka stake ...haiwezekani mpaka upunguze timu...kuna mtu amepata shida hii na ametatuaje?
 
Mimi pia nimepata shida hiyo toka jana, ninachofanya naandaa mkeka halafu naenda kwny kibox cha kuandikia website kwny kona kulia na refresh halafu nawahi sehemu ya kuandika stake najaza kiasi cha fedha, inataka timing sana ndipo inakubali.
 
Reactions: pri
Hizi betting company za Tz vurugu mechi....Huduma kwa Wateja wamefeli
 
BET WON... hivi kumbe hii inawezekana... hii option ali introduce mtoto wa nzi juzi kati iko poa sana na odds mlima kama hizo apo timu 8 odds 57.7 ..... kwa ambae hajaelewa hapo inatakiwa kipindi chochote kitoe 2+
 
Attachments

  • 57.png
    19.4 KB · Views: 113
Primier bet sijawaelewa..sasa hivi ukitengeneza mkeka ukitaka kuweka stake ...haiwezekani mpaka upunguze timu...kuna mtu amepata shida hii na ametatuaje?

mkuu nimetandika mkeka mida hii cjapata tatzo lolote premierbet.... bye bye meridianbet na sever error zenu
 
Tena premier hamna 18% wala nn aisee...mtandao uko poa wikend na ck zngne hawa meridian wamezd usumbuf
 
Australia bana hawa iraq kila siku wanalipuana huo mpira wanacheza wapi mshindwe kuwafunga?
 
BET WON... hivi kumbe hii inawezekana... hii option ali introduce mtoto wa nzi juzi kati iko poa sana na odds mlima kama hizo apo timu 8 odds 57.7 ..... kwa ambae hajaelewa hapo inatakiwa kipindi chochote kitoe 2+
Hata mimi hapo chupu chupu
 
Natumia tigo pesa kuweka hela premier bet hazifiki, mwezi sasa tigo wananizungusha na masaa yao 72, premier nao nimewaandikia email wapo kimya, hv natoka vp katika hali hii??
View attachment 391640 Hata mimi hapo chupu chupu

Asante kwa kuturudishia imani juu ya hii option ... mi nlishagive-up. naombeni timu 3-4 za leo ambazo naweza tia hii option. Nina kilo hapa ninashida na ticket ya Fastjet for next week.
 
mkuu mimi nlifanya ana ana doo tuu, kwa kuangalia odds kubwa kubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…