IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 434
- 95
Leo kuna timu imepewa odd ya 26 cjui nijilipue mana bolu halitabirik asee
kuweka via m-pesa
*150*00#
-lipa kwa m-pesa [bonyeza 4]
-weka namba ya kampuni [bonyeza 4]
-170066 [ingiza namba ya kampuni hiyo]
-jina lako au id akaunti namba [hakikisha jina lako kama ulivyo jaza meridian au waweza weka id akaunti namba yako kutoka meridian]
-endelea hadi ushatuma mzingo wako na subiri ndani ya nusu saa mzingo kuingia.
Nb: Hakikisha namba yako ya voda ulisajili au kuweka meridian.
Kutoa via meridian
-my account
-deposit/withdraw
-withdraw
-money amount [jaza kiasi za unazo taka kutoa]
-select payout [payout]
-payout [vodacom m-pesa]
-withdraw funds.
Subiri masaa 24 wakutumie mzingo wako..
Pia hapa hakikisha namba yako ya voda ulisajili meridian
my account niliyo jisajiri meridian?
kama kuna kundi la watsap mtu add
Nilijua hii post itakuwa Junior.
Sawa mkuu ni kueleweshana abuse ya nn ...ni kueleweshwa tu mieer
Mi sina laini ya voda ila na account blaclays je haiwezekani kudeposit kwa bank ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Meridian
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Na je posta wanapatikana meridian ? Manake nipo posta muda huu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nimekusoma mkuu.....ukiona odds zina sifuri point kitu...labda 0.50...hawajajumuisha dau lako..mfano odd ikiwa 0.50 ukaweka laki moja...unapata 50,000 ila kwenye retuns wanakurudishia dau lako (iyo kilo moja).....kiujumla inarudi 150,000.....so hamna tofauti na odd 1.50 ambayo,nayo italeta 150,000