Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nn hk.PNGukiletewa ujumbe huu kwenye iplay& maana yake nn?
 
kuweka via m-pesa
*150*00#
-lipa kwa m-pesa [bonyeza 4]
-weka namba ya kampuni [bonyeza 4]
-170066 [ingiza namba ya kampuni hiyo]
-jina lako au id akaunti namba [hakikisha jina lako kama ulivyo jaza meridian au waweza weka id akaunti namba yako kutoka meridian]

-endelea hadi ushatuma mzingo wako na subiri ndani ya nusu saa mzingo kuingia.

Nb: Hakikisha namba yako ya voda ulisajili au kuweka meridian.

Kutoa via meridian
-my account
-deposit/withdraw
-withdraw
-money amount [jaza kiasi za unazo taka kutoa]
-select payout [payout]
-payout [vodacom m-pesa]
-withdraw funds.

Subiri masaa 24 wakutumie mzingo wako..

Pia hapa hakikisha namba yako ya voda ulisajili meridian

my account niliyo jisajiri meridian?
 
kama kuna kundi lipo la watsap beeting inakuwa rahis hat kwa wale wanaocheza online wanapata data mapema na mikeka inafika kirahiusi kwa mtu ingekuwa vizur mtu add watsap
 
Sawa mkuu ni kueleweshana abuse ya nn ...ni kueleweshwa tu mieer

Huku memba wapo wengi zaidi ya 50 kama group ya watsapu inavyotaka kwahyo unataka baadhi yetu tukose nafasi vile vile meseji inaweza fika zaidi ya 100 kwa siku ila hautaweza kusoma yote sababu ya ubize bora tubaki humu ndani.
 
Mi sina laini ya voda ila na account blaclays je haiwezekani kudeposit kwa bank ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Na je posta wanapatikana meridian ? Manake nipo posta muda huu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Meridian

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kudeposit mzingo ni kuenda ofisi zao au M-pesa ila hawana huduma za kudeposit kwa bank.. Nenda kanunue laini yako mpya ya voda na usajili ili uweze kudeposit
 
Na je posta wanapatikana meridian ? Manake nipo posta muda huu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mkuu posta hawapatikani location zao angalia hizi picha
 

Attachments

  • 1410254759617.jpg
    1410254759617.jpg
    107.4 KB · Views: 97
Wakuu wekeni euro under 21 mpeni italy uhakika leo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nimekusoma mkuu.....ukiona odds zina sifuri point kitu...labda 0.50...hawajajumuisha dau lako..mfano odd ikiwa 0.50 ukaweka laki moja...unapata 50,000 ila kwenye retuns wanakurudishia dau lako (iyo kilo moja).....kiujumla inarudi 150,000.....so hamna tofauti na odd 1.50 ambayo,nayo italeta 150,000

kaka hii ina appy hata hapa kwny live bttng ya meridia ama? Coz napo huwa naona hz point ila nashndwa kucheza kwa kuogopa
 
Bosnia Vs Cyprus [1 win 75%]
Croatia Vs Malta [1 win 87%]
Japan Vs Venezuela [1 win 87%]

Bet at ur own risky..
 
Back
Top Bottom