Mkuu sijui mtazamo wako unatoa wapi. Ila ngoja nikuambie kitu: betting siyo mbaya kama wewe na wengi mnavyo fikiri au kujaribu kufanya ionekane mbaya. Kwa taarifa yako huku Africa ni kama tunajaribu Kubet, Sehemu zinazo ongoza kwa Kubet moja ni Ulaya, mbili ni Asia hususani India, Marekani nk. Rais wa Dunia wa sasa kabla hajawa Rais alikuwa anabet na kumiliki Casino na pengine bado ana Bet, wanasiasa wakubwa, wana muziki na watu wengine mashuhuri wanabet. Je hao wote wanacheza adolescence game?Kubet Ni adolescence game
Kiukweli mzee ilibaki 5000 tu humu asubuhi naamka nakuta hela hii hapa sasa hapa hata nikienda kwa odds 2 kwa mkeka inalipa..kuweka stake ya chini ya 15000 kwa odds mbili naona kama napoteza muda tu!Hongera sana mkuu. Na ulijilipua kwa Hizo odds Umepata mtaji sasa.
Noma sana mkuu HongeraKiukweli mzee ilibaki 5000 tu humu asubuhi naamka nakuta hela hii hapa sasa hapa hata nikienda kwa odds 2 kwa mkeka inalipa..kuweka stake ya chini ya 15000 kwa odds mbili naona kama napoteza muda tu!
Russian bokie wote wanayo hii optionHii ipo kampuni gani?
Aisee kubet ni kazi ngumu mnooo huyu mshenzi kaondoka na hela yangu.Young Boys Killed Big Boys!๐ณ
kwenye standings/msimamo wa ligi unaojumuisha timu zote favorites na underdogs, kila timu ikishamaliza mechi zake zote. timu ya kwanza haihesabiwi bingwa. baadala yake inakwenda kwenye hatua ya msimamo mwingine wa championship/promotion stage.Mkuu naomba unitoe tongotongo hizi ligi zikoje?
Sema mwanetu tumeufata kama ulivyo tushapasuka fresh kesho nayos sikuView attachment 3437562
Mkeka Wa Siku โฝ
Code ๐ PTG9L
๐ Pata 300,000 Kama Bonus Ukijisajili Kwa Kutumia Promo Code๐TIPS2424 Kisha Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
Jisajili PariPesa Hapa๐ https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code Use๐ TIPS2424
Mkuu huyu Liverpool ameniudhi sana. Ameharibu leo mikeka. Sema kumpa Crystal Palace ilikuwa siyo rahisi tena. Ilitakiwa kufanya maamuzi magumu sanaySema mwanetu tumeufata kama ulivyo tushapasuka fresh kesho nayos siku
Fungua kwenye corner then shuka chiniShukrani, kwenye kazi hii ya kubeti makampuni yangu ni mrusi mtupu kwa ajili ya kukwepa Kodi ila nikikuwa sijaona hiyo option.View attachment 3437844
Ahsante nimeona.Fungua kwenye corner then shuka chiniView attachment 3437856