Kabisa, kuna ujuaji mwingi mno humuwakali wa kubet waliokua wanatupa madini. wametuacha na ujuaji wetu. baadhi yetu humu ndani tuna ujuaji mwingi.
acha tule jeuri yetu wajinga sisi
wengine waliotukimbizia wataalam ni watangaza promo code. wanazingua kinoma. mpaka watu wamekata mguu humu kwa ajili yao.Nikikumbuka uzi ulivyokuwa wamoto siku za nyuma nashindwa kuamini kama ndo uzi huuhuu uliolala usingizi wa mauti! Wakamalia wamenyoosha mikono
Kabisa, kuna ujuaji mwingi mno humu
Wanazingua kinoma, uzi umekuwa wa matangazo! Inaboa mno aisee, hata mimi hao watu wamenikimbizawengine waliotukimbizia wataalam ni watangaza promo code. wanazingua kinoma. mpaka watu wamekata mguu humu kwa ajili yao.
Punguza matangazo yako mzee unatuharibia uzi, peleka matangazo jukwaa la matangazo huku tuache tutembeze code. Unazingua kinoma aiseeView attachment 3492365
BET OF THE DAY ⚽
Code 👉 EHAZQ
📌 Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Kujisajili PariPesa Upate Bonus Ya Mpaka 300%.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code👉 TIPS2424
PariPesa App👉: https://paripesa.bet/tips2424app
Piga ban basiiiPunguza matangazo yako mzee unatuharibia uzi, peleka matangazo jukwaa la matangazo huku tuache tutembeze code. Unazingua kinoma aisee
wengine tunataka kuona kila comment kwenye huu uzi bila kum-ignore mtu.Punguza matangazo yako mzee unatuharibia uzi, peleka matangazo jukwaa la matangazo huku tuache tutembeze code. Unazingua kinoma aisee
Mkuu hii JamiiForums inahitaji watumiaji wengi. Na watumiaji wengi wanapimwa kwa kiwango cha nyuzi zinazowekwa hapa. Kama watu hawaandiki mara kwa mara basi JamiiForums itajiendesha kwa hasara. Ninapo post mara kwa mara JamiiForums inapata faida. Pia kama suala ni Code mbona code naweka? Au huwa huoni code ninazo Weka? Sijawahi post Mkeka bila code yoyote.Punguza matangazo yako mzee unatuharibia uzi, peleka matangazo jukwaa la matangazo huku tuache tutembeze code. Unazingua kinoma aisee
Kwanini nipigwe ban ikiwa sijatenda kosa? Na je, unayajua makosa yanayoweza pelekea mtu kupigwa ban hapa JamiiForums?Piga ban basiii