itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
๐๐ฟHarafu nilifanya deposit Jana sportybet hadi time hizi bado, Kuna tatizo la mtandao, Maana sio kawaida Yao kabisa, kwako haisumbui mkuu kuweka pesa sportybet toka Jana?Edit kidogo ..leo nisipo kula naenda live kukuza mtaji
6XNSW8
๐ ๐ Million hamsini kwa MiaHao ndo watu wa kamari
Sio kuweka ukasubiri milion 50
Nimewahi. Kutumia kama sio mwaka 2019 au 2020 mwanzoni walikuwa na payment method za tanzania lakini baadaye wakaondoaJe kuna mtu amewahi kutumia mostbet humu?
Haiwezekani?๐ ๐ Million hamsini kwa Mia
InawezekanaHaiwezekani?
Kwani huwa haiwezekani mkuu?! Sometimes huwa ni uoga tu wa kucashout๐ ๐ Million hamsini kwa Mia
Bologna ni mashne ya kazDaah sisi wengine betting ishatukataa
Midtjlland anachomolewa dakika za mwisho, Celta Vigo baada ya kumpiga kibabe Real Madrid Bernabeu leo hata sare imemshinda dhidi ya Bologna.
Nachoka mimi nachoka mimi...!
Mkuu Midtjlland na genk mbona wametoka moja buyu vilevile,Daah sisi wengine betting ishatukataa
Midtjlland anachomolewa dakika za mwisho, Celta Vigo baada ya kumpiga kibabe Real Madrid Bernabeu leo hata sare imemshinda dhidi ya Bologna.
Nachoka mimi nachoka mimi...!
Sahihi mkuu utastaajabu mengiIla alhamisi ulaya kula hela labda uwe mchawi timu hazisomeki *****
Yep UEFA uchawi mwingiUefa ni majanga Leo ligi zimeanza turuke nazo
Kuna timu zimetoa kona 6 kipindi cha kwanza halafu kipindi cha pili kona sifuriIla alhamisi ulaya kula hela labda uwe mchawi timu hazisomeki *****
Ahsante mkuu ndio nimeona hapa sasa hv midtjlland alishinda, kumbe ilikua ni wenge tu. Ila hata hivyo Celta Vigo kaniua niliamini anaimaliza mechi mapema, Ile mechi dhidi ya Madrid aliupiga mwingi sana.Mkuu Midtjlland na genk mbona wametoka moja buyu vilevile,
Mimi kwenye ligi ndo napigikika vibaya Bora hata Uefa.Uefa ni majanga Leo ligi zimeanza turuke nazo