shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
hiyo mech nakumbuka sana mm niliweka 50000 ila niliweka mech sita na roma ndio alikuwa wa mwisho maana wengne niliwapa magoli nilijua kachananliweka 1ml, dakika ya 60 roma kapigwa 2-1 nikalala kwa majonzi hata kabla mechi haijaixa huku nikiwaza hatima ya tumbo kexo itakuwaje,
mara asubuhi naona notification goal.live app roma kaxinda 2-3
toka siku hiyo sikurudia tenaaa
Hongera sana ila usirudie usije ukaleta maombolezi JF
Umetisha sana buddyBasi kwa uweza wake na zote zikawa kijani, kodi ya 200K ikalipwa na 900K ya ticket ikapatikana ...
View attachment 393273
Miaka 38 Uganda hajafuzu,Leo ndio siku ya kwenda AFCON unawauwa.Mech zote hizo ni must win kwa wanyumbani.500 yako sadakaNajaribu
Safi sana lazima nae apokee maumivu kidogo kidogo, ingawa anakusanya nyingi kwa waTZBasi kwa uweza wake na zote zikawa kijani, kodi ya 200K ikalipwa na 900K ya ticket ikapatikana ...
View attachment 393273
Fata Nyuki Ule Asali...
View attachment 393330
Mpira umebadilika HAWA wakomoro wamekomaa balaaDuh..over 2.5 ya Uganda inaelekea kugoma, sijui kwa nini sikuwapa W 1H.
Hatari aisee yaan sio wale wa bao sita tenaMpira umebadilika HAWA wakomoro wamekomaa balaa
Hatari sana.Mpira umebadilika HAWA wakomoro wamekomaa balaa