msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,423
- 3,270
Achana naye wewe share hata kama uwe na odds mamilioni siye ndiyo tunaponeaga hiyoUmesahau kuwa hizo ni zile Kuza cashout code zetu mkuu?!
Hizi Mishe mishe zikikubali Party inaanza day break!Achana
Achana naye wewe share hata kama uwe na odds mamilioni siye ndiyo tunaponeaga hiyo
Katoa 1-0Sijui niweke laki
Wakuu tuliosikilizia mchongo huu hongereni mliofata.Waambie tu Kuna mchongo unausikilizia harafu kata simu.
✍️💥View attachment 3520198Cameroon atazuia zaidi(kama asili yake ilivyo) ili ku-secure ushindi wake ubaki hivi hivi, hivyo kupelekea wapate kadi za njano zaidi ya 2
Both teams to scoreHii mechi naiangalia tangu jana, nashindwa kuipatia uamuzi ibetibetiwe vipi kmmmk!View attachment 3520284
🤣Sema maafisa ubashili wenzangu sasa hivi upepo upo upande wetu
Poa mkuu acha tuone.
Jana mambo yakawa mazuri.Dua zangu kwa Cameroon na Ivory coast.
MatapeliHii timu Safa fc inauza mechi!! ✖️✖️
Hii ni mechi ya 4 mfululizo anafungwa 1 -0 kila mechi na underdogs!
That's y siiwekagi kwenye code ya Kimkakati
View attachment 3520416
Hata mim nimeziona ila nikija kujichanganya kubet hazito kuwa nyingDuuu hii afcon zinapigwa kona kama mvuaa yani
Kwamba ni mtego mkuu! 🤣Hata mim nimeziona ila nikija kujichanganya kubet hazito kuwa nying