Hongera mi niliwahi kushinda mechi kumi mara mbili.. ila sikihizi sibet tena jackpotJana nikasema acha nijaribu bahati kwenye Jackpot,
Usiku huu Nashangaa naona Salio 30k kumbe nilipatia mechi kumi wamenipa bonas [emoji1787]View attachment 3521068
Mimi mara chache Sana Huwa naweka buku kama kujaribu bahati tu.Hongera mi niliwahi kushinda mechi kumi mara mbili.. ila sikihizi sibet tena jackpot
π€£π€£Mkuu hii ilishanishinda an dah mwisho mechi nane ndio nilijitahidi, hii ngoma ngumu kishenzi.Jana nikasema acha nijaribu bahati kwenye Jackpot,
Usiku huu Nashangaa naona Salio 30k kumbe nilipatia mechi kumi wamenipa bonas π€£View attachment 3521068
π π Mkuu mapema kabisa sioleo mikeka hakuna
Hii na mimi nimeionaAston villa win
π€£π€£π€£ mapema tujilipueπ π Mkuu mapema kabisa sio
Mkuu Mimi huwaga nasubiri hadi jioni kama mda huu naandaa jamvi nikiweka ndio basi, inaboa Sana umeweka mapema ukichanika unatak ufanye deposit tena π€£π€£π€£π€£π€£ mapema tujilipue
Kwenye mkeka mechi zilizotangulia zikitiki ikabaki moja ya mwisho lazima ilete usssenge nina hasira sana hapa nilipo!
[/QU
Harufu ya maokoto hapaaODDS 3 π
Kaza pumbu, chukua 10,000 weka hapa tusubiri laki moja.leo mikeka hakuna
π€£π€£π€£ na ukisha panic ndio unazidi kuliwaMkuu Mimi huwaga nasubiri hadi jioni kama mda huu naandaa jamvi nikiweka ndio basi, inaboa Sana umeweka mapema ukichanika unatak ufanye deposit tena π€£π€£
Utapasuliwa mpaka uite mizimu ya kwenu, nimeacha kufukuzia loss.π€£π€£π€£ na ukisha panic ndio unazidi kuliwa
π€£π€£π€£Utapasuliwa mpaka uite mizimu ya kwenu, nimeacha kufukuzia loss.
Du uganda tumevuka π mkeka no moja wenye odds zais ya elfu bado unasonga kasheshe ipo kwa juve naona kama ilitakiwa niweke handcap ya 3-0π€ cash out ishakuwa 150000 sasa hapa tuna fanyaje ?Tujaribu
5JA51E
5REW2R