NIMECASH OUT 144000 DAKIKA YA 4 YA HIO MECHI YA JUVE... UZALENDO UMENISHINDA ILA NIME REBET KIAKILI ODDS 3 NIMETIA 14000 MLIOFUATA HIYO CODE BORA KUCASH OUT TU adriz achana na mudi boy njoo upate kiti moto hukuDu uganda tumevuka π mkeka no moja wenye odds zais ya elfu bado unasonga kasheshe ipo kwa juve naona kama ilitakiwa niweke handcap ya 3-0π€ cash out ishakuwa 150000 sasa hapa tuna fanyaje ?
NIMECASH OUT 144000 DAKIKA YA 4 YA HIO MECHI YA JUVE... UZALENDO UMENISHINDA ILA NIME REBET KIAKILI ODDS 3 NIMETIA 14000 MLIOFUATA HIYO CODE BORA KUCASH OUT TU adriz achana na mudi boy njoo upate kiti moto huku
Mkeka umetika bado game Moja sema kumbe ipo j4betpawa..
ZW10BTK
Mkuu uliweka mkeka au ?Aston villa win
Mkuu Lwiva nilikuuliza hiyo screenshot ndefu ya kuonesha mkeka mzima unaichukuaje? Naomba somo tafadhali.Du uganda tumevuka π mkeka no moja wenye odds zais ya elfu bado unasonga kasheshe ipo kwa juve naona kama ilitakiwa niweke handcap ya 3-0π€ cash out ishakuwa 150000 sasa hapa tuna fanyaje ?
Cash out jau sana. Mimi juzi nimecash out Tsh. 66k baada ya kuona Egypt anazingua kwa Zimbabwe halafu mkeka ukatoa nikakosa Tsh. 1.5m. Bora kukomaa tu.Du huu nao nimecash out bure π€¦
Cash out kama hiyo uliyo kukuta ni mbaya unapata chini ya ulicho chezea π€¦Cash out jau sana. Mimi juzi nimecash out Tsh. 66k baada ya kuona Egypt anazingua kwa Zimbabwe halafu mkeka ukatoa nikakosa Tsh. 1.5m. Bora kukomaa tu.
Hongera mkuu, tusonge mbeleTATHIMINI YA MATRENI YA JANA HII
mechi ya juve kama nilivyo sema nilitakiwa kucheza handcap ya 3-0 ilichana ule mkeka ila nilicash out kabla ya mechi ...mechi nyingine ambayo imechana ni tanzania na uganda kwa mkeka mmoja π₯π₯π₯π₯π₯ hii ni mikeka mitatu tofauti
Tawile masterHAPA SASA TIENI MZIGO
5ANSKT
Sawa mkuu ipo siku atazitapika tuHAYAAA ODDS ELFU 70000 TRENI πππ Kanji hadi atapike pesa zetuππ
6WJTFN
Hii Habari ya cash out sitaki kusikia, mkeka ukitiki usingizi unapata kwa shida Sana, ***** an saivi ni kuacha tu kama mbwai iwe mbwai ishanitokea mara mbili sitaki kabisa,.Cash out jau sana. Mimi juzi nimecash out Tsh. 66k baada ya kuona Egypt anazingua kwa Zimbabwe halafu mkeka ukatoa nikakosa Tsh. 1.5m. Bora kukomaa tu.