itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣🤣Wajuba wanaibuka wapya tu.Huyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kurlimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemu
Nilichukua hiyo code mkuu ngoja tusubiriJana bukinafaso kachana treni limebaki moja ila mimi nili REBET YANAENDELEA JUMLA MATRENI MATATU ....LEO NIMEONA NI SHEHE CODE HII NGUMU KUMEZA KIDOGO ODDS 261 HIVI MECHI 14 ..Uwezekano wa kula ni asilimia 70% na ODDS400
👉 ODDS400 5MHQSB
👉 ODDS261 5JESC5
Anzisha aseeh, itakua poah sana..then mkuu wewe basketball huwa huzibetii?Huyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kuelimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemu
Hii uhakikaMechi ya Tanzania vs Tunisia, nadhani nitaibetia yenyewe tu leo! Kabla odds hazijashuka..., 100k... Tunisia 3+goals.... Sitaki mkeka wangu uchafuke!
Hii itakuwa poa sana maana hawa wajinga kazi yao kutuharibia utulivu kila maraHuyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kuelimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemu
Mkuu hii nchi useng mwingi sana, mijitu inakula nchi yetu na haitaki kuhojiwa... kwa kuwa ni wababe tumewaachia wale sisi tumekuja huku nako wanatufuata fuata tu.Huyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kuelimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemu
mwingine tenaJana 🤩
Sio matapeli niuelewa wako mdogo. Kwanza hakikisha kiasi ulicho deposit umekibetia kwa 100% hakikisha hauna active bonus, hakikisha laini yakutolea ndio uliyotumia kudeposit na majina yafanane na ya account . Jaribu kutoa 5000 kwa voda tuoneView attachment 3522107
Jamani hii kampuni ya 1win nani anaijua nimekula kila nikitoa hawataki sio matapeli Hawa,
Tangu Jana wananizungusha tu wapumbavu hawa
Dawa ni kuwapiga ignore list tu kama yule mwingine sikuhizi sioni post zake .....huyo sasa hivi nampiga IGNORE 🚯Mkuu hii nchi useng mwingi sana, mijitu inakula nchi yetu na haitaki kuhojiwa... kwa kuwa ni wababe tumewaachia wale sisi tumekuja huku nako wanatufuata fuata tu.
masharti kama mgangaSio matapeli niuelewa wako mdogo. Kwanza hakikisha kiasi ulicho deposit umekibetia kwa 100% hakikisha hauna active bonus, hakikisha laini yakutolea ndio uliyotumia kudeposit na majina yafanane na ya account . Jaribu kutoa 5000 kwa voda tuone
Dawa ni kuwapiga ignore list tu kama yule mwingine sikuhizi sioni post zake .....huyo sasa hivi nampiga IGNOREMkuu hii nchi useng mwingi sana, mijitu inakula nchi yetu na haitaki kuhojiwa... kwa kuwa ni wababe tumewaachia wale sisi tumekuja huku nako wanatufuata fuata tu.
Majina ya no ya simu kufanana na ya account 🙄 ni kigezo cha kishenzi ....wengine wanatumia majina feki kwa usalama wao ...kampuni za kifara hizo ...nikila hela natoa kwenye simu sitaki mashariti ya vitamburisho wala bank account...Sio matapeli niuelewa wako mdogo. Kwanza hakikisha kiasi ulicho deposit umekibetia kwa 100% hakikisha hauna active bonus, hakikisha laini yakutolea ndio uliyotumia kudeposit na majina yafanane na ya account . Jaribu kutoa 5000 kwa voda tuone
Naunga mkono hoja, masharti kibao kama hela ya wizi.Majina ya no ya simu kufanana na ya account 🙄 ni kigezo cha kishenzi ....wengine wanatumia majina feki kwa usalama wao ...kampuni za kifara hizo ...nikila hela natoa kwenye simu sitaki mashariti ya vitamburisho wala bank account...
Wabetiji, MWAKA WA kujenga, majumba, magari na mavumba