Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

😁😁
Nimetaka mwenyewe mkuu. Nipe madini.
 
Mkeka wangu Una games 5 tu. Nimeweka option ya GG 2+ na tayari mechi tatu zimetowa. Sasa hawa jamaa wameuweka ni lost kwa sababu ya mechi hiyo hapo wakati mechi imetoa GG 2+.

Bado mechi mbili tu za baadae. Scenarios kama hizi huwa mnadili nazo vipi wakamaria wenzangu ?

 
Wako sahihi sportybet, tayari nimepata majibu πŸ™πŸ™πŸ™
SPORTYBET hawana janja janja. GG 2+ kwa ninavyoelewa ni lazima timu zote mbili zifunge goli mbili na kuendelea kila mmoja.
Nadhani wewe ulielewa GG & 2+ ambayo ni tofauti na GG2+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…