JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Timu za kibongo huwa naweka kwenye code 1 ama 2 ambazo huwa hazizidi 2000, siweki timu za samia kwenye code yoyote ya Kimkakati mkuuHawa matapeli hata 1Up hawana
Niliacha kushabikia hizi timu na ligi nzima kiujumla na hata kwenye slips zangu siwaweki.
Leo mechi chache halafu hizi ndio zina odds nyingiUfafanuzi murua, but Acha niikwepe hii gemu ya cameroon.
Ni timu inaongoza kwa kuwanyima UMILIONEA WAKAMARIA WENGI!Leo mechi chache halafu hizi ndio zina odds nyingi
Kama vipi mvamie Dortmund ukikwae kisiki.
Uzuri wakamaria wote Dortmund mnamjua. Ipo Bundersliga kwa dharura tu ila mahali inapostahili ni Serie A. Na leo ndio ipo ugenini...sijui.
Nimerudi kucheki tena game ya Mali na Senegal nimeona market ya saves ina odss nzuriNi timu inaongoza kwa kuwanyima UMILIONEA WAKAMARIA WENGI!
Hii sikuwa na wasiwasi nayo kabisa!, 1up Tayari ishatiki.Nimerudi kucheki tena game ya Mali na Senegal nimeona market ya saves ina odss nzuri
Ukimpa Mali afanye saves 3 una odss zako 1.27
Na Mali golini yupo Diarra ambaye leo anategemewa kuwa ndio man of the match kwenye kikosi chake.
Mechi na Morroco alifanya saves 2
Mechi na Tunisia alifanya saves 2
Lakini mechi zingine zote alifanya saves 4
Unaweza kupima uzito wa mechi ya leo ukaziona kabisa saves 3.
Yanga sijaona ila Kwa Cameroon na Morocco over 2.5 possibleOgaBoy hii mechi ya singida vs yanga.... namna gani hapa?!...
Tunaibetije + mechi ya Cameroon 🇨🇲
Hawawezi kupata goli moja moja hawa?
Wewe ni mtu wa pili umeiona over 2 .5Yanga sijaona ila Kwa Cameroon na Morocco over 2.5 possible
Scars tunashukuru kwa hichi kidogo, ingawa ulicheka sana!
Boom code imetoa6L4YZU code ya Sportybet game nne za NBA
Hii inaonekana ni hela kabisa
Hapo ume dublicate mechiHabari za majukumu wakamaria.
Hivi ikiandika range ya pesa,
Mfano: 369,904 - 1,702,124 hapo inamaanisha ushindi ni huo 1,702,124 Au vipi.
View attachment 3527811
Dortmund Leo anashindaLeo mechi chache halafu hizi ndio zina odds nyingi
Kama vipi mvamie Dortmund ukikwae kisiki.
Uzuri wakamaria wote Dortmund mnamjua. Ipo Bundersliga kwa dharura tu ila mahali inapostahili ni Serie A. Na leo ndio ipo ugenini...sijui.
Hapo ume dublicate mechi
Sikuona kama nimedublicate mechi aisee, na nimeshaplace mkeka. Itakuwaje sasa?
Kuna mechi umezirudia zaidi ya mara moja, ukitoa ikabaki mechi moja utapata odds kamili
Alicheza jana na alitoka 3-3Dortmund Leo anashinda