Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu, sikuliona hilo na nimeshatandika mkeka. Itakuwaje ?
Nimecheck nimerudia mechi zaidi ya 1
Hakuna shida

Wanachofanya wao ni hiyo mechi uliyoirudia inakua na stake yake inayojitegemea

Yani kama kwenye account ulikuwa na buku halafu ukataka kutia yote kwenye slip ambayo kuna mechi imejirudia watakuambia ongeza salio lingine la buku ili kufund hiyo mechi iliyozidi.
 
Ooh! Na ndicho kilichofanyika, ila mechi moja nimeipatia option 2 pasipo kujua (over 1.5 kwa over 0.5).
 
Kuna codes za Mkamaria mmoja humu nimejaribu kuzi load.

Naanza tu kuandika stake ile naweka tu 1 naona payout inakuja milioni.

Nikastuka ikabidi nifute niweke 500.

NImeweka 500 naona inakuja Milioni 132 na hapo kuna mechi zipo suspended kwasababu zilishaanza kucheza. Ina maana ninge load wakati mechi hazijaanza huwenda payout ingekuja hadi Milioni 200

 
Huyo anabashiri badala ya kubeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…