Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game ya fiorentina vs ac Milan huyu dogo pulisic anatuchelewesha tu mikeka yetu aiseee. 2 clear chances against degea anapoteza tu 🌚🌚🌚
 
Ushauri wa Bure anagalieni na mechi za mapema kuanzia saa kumi usiku mpaka saa tano zinatoa sana,
China Hong Kong, na n. K, ata odd zao zimeshiba
Haujawahi kupigwa na kitu KIZITOO! mkuu!.... kwenye hizo mechi za asubuhi!

Siku yako na stake yako vitaharibika vibaya! Kwa hizo mechi za asubuhi!

Picha linaanza mkeka umechanika
Saa 6 adhuhuri...STAKE IMEKATA...

HALAFU SAA 8 TU Arsenal, Celtics,Fanabahce Wako uwanjani!...UTATAMANI UKAIBE ILI UPATE STAKE!
 
Nashukuru Mungu....jana farao na niger kaninyooshea mkeka safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…