Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Age 18 & above. Play responsibly.
 

Attachments

  • Screenshot_20260112-161919.png
    190.5 KB · Views: 18
55TSP4 sportybet
Kitreni cha kizushi hicho kuanzia leo mpaka jmosi odds 57.

Bet responsibly, stake what you can afford to lose.
 
Kama Wewe ni Kunguru (muoga)

Achana na hiyo code ya juu....

Fuata hii code hapa chini niliyoipaka kilainishi(vaseline) ili usichubuke sana!👇👇 30 odds.
View attachment 3528914
Haukuokoa N-taji?... Nilikuwa na Usingizi Mzito...nikaona nitasinzia then Psg Ani Dortmund!....niokoe mtaji...

I hope goli la Paris Dk ya 74 Either lilipandisha Cashout MARADUFU kwa option ya Over 2.5... kwa muda kama dk 5 THEN SPORTY WANABLOCK CASHOUT...MAANA NAWAJUA Sporty siku za hivi karibuni..wana cashout za kikuda na kiwaki sana!...
Ukijichanganya cashout ya 100,000 unaweza bonyeza buku ukiwa haraka!

Kama uliiacha...ni wewe
 
Sijui kwanini...! Sijui ni mimi tu...BUT!....Napata hisia ya kwamba MAN CITY ANAKUFA smoothly! LEO KWENYE EFL CUP DHIDI YA NEWCASTLE!!!

Kulingana Na hii Fixture yao na JOTO LA MANCHESTER DERBY JAN 17!

Labda pengine ni mizimu yangu ya kikurya inaniingiza chaka!
Anyway..tutaona!
 
Mimi niliacha cashout ya 50k wakati game ya PSG haijaanza guess what nilicashout stake niliyoweka 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…