Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona PSG anataka nimuongeze kwenye ignore list
 

Attachments

  • Screenshot_2026-01-13-13-37-54-827_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    142.7 KB · Views: 20
Kmmmak! Kuahirishwa kwa hii mechi kumeharibu kabisa odds za mikeka ya wakamaria!

Asilimia 90hakuna code ilikosa hii mechi! Na ilikuwa na odds nzito!..

mikeka imeharibika kabla hata haijachanika!
 
Saizi nishakuwa mvivu kutengeneza slips navizia mikeka yenu na edit halafu natia steki

Juzi kuna mkeka watu humu nilipita nao sikumbuki ID yake ila kuna mechi niliweka goli 2 baada ya dakika ya 8 tu tayari likapatikana goli 1

Mamamke mpaka filimbi ya mwisho ******* wam stuck kwenye hilo hilo moja.
 
bet pawa..

S1HL2OB
 

Attachments

  • IMG_20260113_211808.jpg
    31.2 KB · Views: 19
🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…