kuna kitu moyoni kinaniambia Japan vs Venezuela, japan anapigwa hii Game..... ngoja niuskize moyo wangu, nampa Venezuela, Please, naomba hii game nife kivyangu, dont follow me
Kama ulisajili na namba tofauti waweza kuibadili
-My account
-Personal data
-Phone [Jaza namba yako ukianza na +2557...... au +2556.....]
-OK
Mie kwangu ipo sawa kwenye browser ya simu lakini app inasumbua sana kuliko kwenye browser mkuu
Ila kuweni makini na friends mechi wachezaji hawajitumi sn
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Daaah mkuu, nimepigwa za uso hizo ila matata, mtaji umekatika naanza kula faida
Mkuu usifanye maisha kuwa magumu... Ww sajili Namba ya mpesa ni less than 1500 then Uwe unatumia kw transactions.
Au kama huwezi Kuna option ya ku withdraw kwa mawakala waliopo mjini
Mi nimeshapata laini ya voda naelekea meridian shopers kujisajili sijui ntawahi mechi za saa kumi
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mi nimeshapata laini ya voda naelekea meridian shopers kujisajili sijui ntawahi mechi za saa kumi
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kama ulisajili na namba tofauti waweza kuibadili
-My account
-Personal data
-Phone [Jaza namba yako ukianza na +2557...... au +2556.....]
-OK
Mie kwangu ipo sawa kwenye browser ya simu lakini app inasumbua sana kuliko kwenye browser mkuu
Tumia browser ya simu ipo nyepesi kuload Hata kwa edge inapiga mzigo
unajisajili tu online sio kwa shop zao, then unadeposit kupitia mpesa
Mkuu biohazard leo nakuona unazurura tuu jamvini, hujatupia hata moja ya ushindi. Mimi sasa hivi hizi friendlies naziogopa. Nasubiri mashindano baadae. Tupia game moja ya ushindi ya dau refu.
Japan kanipunyua aisee. Ile HT niliona odds za UO 1.5 ziko poa nikajitosa humo. Niliogopa kumpa win huyu japan.
Mkuu hapo kwenye kubadili namba nielekeze vizur maana siioni hiyo option ya my personal data