Soko la uhaka ni lipo mkuu, me najuaga kama ni siku ya kipigo ni kipigo tu Tena kipigo kwa wote kanjaa habagui hachagui
Nini kimetokea???Hakuna kitu kigumu kama kutegemea mtu mwingine aingie uwanjani akufanyie kazi unayotaka. Yaani unakuta team inacheza bila stress kabisa na huku watu tumeweka pesa.
Ni bora kazi unayofanya direct mwenyewe kutumia nguvu zako hata kama ni shamba ekari moja umepewa ulime utajitutumua no matter what umalize upewe chako.
Ni hatari 🤠punguzeni kubeti mtafirisika ndugu zangu.......
vijana wanapukutishwa tu kudaaadeki, juzi nimemkuta mmoja analia kilio cha mbwa koko, kachukua mtaji wa m~pesa wote katupia kwenye mkeka wao wanaita kono la nyani😁😁😁.....ni ndani ya dk 90 tu mtaji wote umeenda.Ni hatari 🤠
Mwaka jana nilifanya huu ujinga. Nilisuka odds 4 nika stake 900,000 nikiamini ni sure Odds. Timu ya kwanza niliyobetia ilipigwa red card dakika ya 15. Zikafuata mvua ya magoli hadi half-time imepigwa 4 bila halafu Muhindi akazima cash out ili nisiambulie hata mia😞. Niliishi kwa madeni mwezi mzima.vijana wanapukutishwa tu kudaaadeki, juzi nimemkuta mmoja analia kilio cha mbwa koko, kachukua mtaji wa m~pesa wote katupia kwenye mkeka wao wanaita kono la nyani😁😁😁.....ni ndani ya dk 90 tu mtaji wote umeenda.
Naomba code MkuuAmkeni wakuu tubeti live mechi za Japan na Australia baadae ligi za ulaya mtulie vilio vimezidi
A3MAWSYJana nilipumzika .
Leo naona Hela ziko.
Niache Nteseke Leta vitu bro.
anza na hii kwanza.
Weka hata buku utanishukuru baadae.
633HDL
Sportybet
Odds 145
Nimetuliza kichwa
We unafikiri unachota tu pesaa ,kwenye betting epuka matarajio makubwa mkuu itakucost. STAKE WISELYMwaka jana nifanya ujinga. Nilisuka odds 4 nika stake 900,000 nikiamini ni sure Odds. Timu ya kwanza niliyobetia ilipigwa red card dakika ya 15. Zikafuata mvua ya magoli hadi half-time umepigwa 4 bila halafu Muhindi akazima cash out ili nisiambulie hata mia😞. Niliishi kwa madeni hadi mwezi uliofuata
Thread 'Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu' Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Odds zilikuwa salama sana. Marseille ilikuwa nyumbani ikicheza na Nantes nikampa Marseille apate goli moja kwa dakika 90 nzima. Baada ya dakika 90 matokeo yakawa hivi:We unafikiri unachota tu pesaa ,kwenye betting epuka matarajio makubwa mkuu itakucost. STAKE WISELY