Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Morn tulipiga odds 11
Humu kama mnakumbuka zilikuwa team 14.


Kwa kuanza
World cup hatua hii ni Germany wengi walitarajia atoe goli nyingi wanaosalia wengi ni under 4.
So, match za leo best opt n ku pick under 4
Game 3 zina odds 2.8
Nerth under 4
Ecuador under 4
TUnis under 4
Hapo kuna 1 lazima atatoa under 3.

Ulaya huwa wanatoa sana kona
Game 2 pick over 8 kona.
Lakini mechi zote za leo kutakuwa na under 10 kona
Hapa kuna odd 4 zimeelea.
 
GG inatoa team 2.
Tunis na sweeden naona wote wachovu tu.
Japan anatoa GG.
Ecuador anatoa GG
Tunis bet at ur own risk

Wale wa apps za mrusi.
Ball enter pick mechi zote No.
Official added time
Japan
Sweeden under 4.5

Waafrica na america huwa uwanjani wanappteza sana muda sishauri ku pick mech ya ecuador kwenye offial time.

First touch goal keeper
Ecuador na tunis lazima itoe.
Mpira wao mwingi unaanzia kwa kipa.

Sub at half
Possibly ni japan pick No.

Goal outside No kwa mechi zote 3.
PEnalty/sending off
Japan na tunis pick No.

Ecuador na ivory hawa wote wasumbufu usiwafuate.
 
Daah nimecheka sana, hatari Mzee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…