Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Chimbo gani hili mwana?Tubadilishane chimbo tu.
Mmeona odds mlima hizo za basketball handcap??
Team 5 hapo odds 20.
Kwa wawekezaji hili chimbo linawafaha kabisa naona ni chimbo la uhakika 100% zaidi ya kifo yaani
South hata DC, whatsapp channel ya nani Ina consistency nzuri ya ushindi?Mitaa yote kuanza wasap channel
Twitter ,Ig napengine pote leo mji umetulia kimyaa kila mtu anaugulia maumivu ya port
Wengi wawekezaji odd 1.7 zikizidi sana 2.5South hata DC, whatsapp channel ya nani Ina consistency nzuri ya ushindi?
Basketball handcap.Chimbo gani hili mwana?
Ili kuwa profitable kwenye hii kazi ni lazima tuwe wawekezaji tu hamna namna, weka hapa link ya Whatsapp channel yake.Wengi wawekezaji odd 1.7 zikizidi sana 2.5
Mtu anatoq mkeka anasema treni lina mechi 7 halafu odds 3 au 4.
Wasap channel nyingi ni kwa ajili ya wawekezaji.
Sisi wengine tuna consistency ya kupiga 132M tunasaka odds 100K+ dailry na team 2 au 5 zina cut off.
So,kama unqtaka odds za kiuwekezaji best channels kwangu naona shafii anajitahidi sana compare na wengineo.
Kwenye pita pita zangu nahisi X nikakutaga link nika join kwahiyo sina uelewa kuhusu link yake naipataje, ila kama unaweza search hizo ndo channel zake.Ili kuwa profitable kwenye hii kazi ni lazima tuwe wawekezaji tu hamna namna, weka hapa link ya Whatsapp channel yake.
Lazima litakufa jitu kwenye mikeka yote muhindi lazima anaseView attachment 3618244
Leo mpaka Jumamosi. ATB.
Amen ndugu yangu. 🙏🏾Lazima litakufa jitu kwenye mikeka yote muhindi lazima anase
Hiyo picha ya pili ni channel ya Telegram au Whatsapp mdau...?Kwenye pita pita zangu nahisi X nikakutaga link nika join kwahiyo sina uelewa kuhusu link yake naipataje, ila kama unaweza search hizo ndo channel zake.
Anajitahidi kiasi.
Yule jamaa wa sport arena nadhani shafii daud
Wasap mkuu.Hiyo picha ya pili ni channel ya Telegram au Whatsapp mdau...?
Zile ni hela zetu walizokula pumbav wale, ukiwala hawakupi gift, usipodeposit wiki nzima hawakupi pia.Msisahau kuchukua zawadi zenu sportybet. Jumatatu leo...!
Na search hayo majina ya channel sizipati.sina uelewa kuhusu link yake naipataje, ila kama unaweza search hizo
Ndio hivyo kiongozi angalau wao wanakuonea huruma kukupoza machungu ili uendelee na saari ya uwekezaji kuliko makampuni mengine wakikukula wanakuacha uteseke...!Zile ni hela zetu walizokula pumbav wale, ukiwala hawakupi gift, usipodeposit wiki nzima hawakupi pia.
Same here mdau...!Na search hayo majina ya channel sizipati.
JINSI YA KU SHARE
Ingia kwenye hiyo channel, click zile dots tatu pale juu kulia, click share, copy link, paste hapa.