Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Tunaingiaje kwenye group lake mkuu
 
Dah, kuna watu mafala kweli aisee anapoteza muda wake kisa code niliyoweka, sijakutana na huo uzi bado mkuu...!
 
Hayo ndo mambo dondosha kaka option izo kaka tuweke hela
Mkuu angalia hapa naona kama tukituliza kichwa pesa ipo aseeh

Special kwa wawekezaji
Hapo naona pana kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_174936_Helabet.jpg
    185.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260629_174959_Helabet.jpg
    171.6 KB · Views: 13
japan anashambulia kutokea pembeni.
Brasil anashambulia kupitia kati.

Japan anaweza score kona nyingi sana compare na brasil..

Ila kama atazidiwa mashambulizi basi kona nyingi zitazalishwa na brasil japo bra ni wachovu wa kona tokana na formation yao.
Hii mechi ki vyovyote kona lazima iwe under 8.5

Dk 15 za mwanzo zitakuwa na mashambulizi so possible team zote zinaweza toa kona ndani ya hii dk.
Best pick hapo
Japan awe over 0.5 15min
Brasil over 0.5 15min
Bet za kiwekezaji
 
Sijajua kwanini mrussi kamu underate japan kwenye kona, lakini ukifuatilia series match zote 3 za mwisho japan ka score kona nyingi kutokana na mfumo wake wa uchezaji.

Ila brasil mbovu wa kona kama navyosemaga america ni wachovu sana wa kona.
 

Attachments

  • Screenshot_20260629_180612_Helabet.jpg
    174.2 KB · Views: 10
Follow the BET KAMA DIGALA πŸ”ž channel on WhatsApp: BET KAMA DIGALA πŸ”ž

Ya 2 hii hapa

Follow the PUNTER KING channel on WhatsApp: PUNTER KING
Nakuonea huruma dogo, achana kabisa na shiaffii dauda A.k.A bet kama digala...na huyo shogaake....

Shafii anabet na demo account, utapoteza wewe ukifata mikeka yake!, unaliwa! Yeye analipwa commission!...

kuna day nilifuatilia page yake watsapp siku 2 mikeka zaidi 23..stake ndogo 500,000 ikaonekana milion 48 kwa siku 2 amepoteza!

Kwa akili ya kawaida tu haiingii akilini...! Kulingana na zile option nilizokuwa naziona!

Code yake moja niliiona kwa group...Stake milion 2 anastake mechi ligi ya Iran over 2.5 &GG yes!

Na nyingine kaweka mil 3 kastake under 0.5 game ya Bodoe glimt na Molde...TANGU SIKU HIYO NILIBLOCK PAGE YAKE!

Akitoa mkeka wa mechi 5 let say odd3-5 ukiwa na jicho la mwewe ...utagundua kuna mechi moja kenge kawekwa aatamie mayai ya mamba!


Stuka mkuu! Ni ushauri tu...TEKITOLIVITI!
 
Yaani ligi ya Norway kaweka under 0.5 πŸ˜† digala πŸ”₯
 
Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
Timu za uhakika zinakuwa na odds ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…