Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaa unafyatua tu 😂
 
Mzee umepotea kilingeni hapa longtime
 
Oyaa io helabet mbona kudeposit kipengele wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_20260629-185417_Helabet.jpg
    75.5 KB · Views: 13
Nj kwasababu hakuna voice notes.
Sasa mpira mtu unaona kabisa matokeo na kila kitu unasemaje unapigwa?
Mimi nafuatilia mikeka yake for edit only
 
Vp tukimpa Brazil aqulify hatua hii yani apite vp japan anaweza mtoa brazil
Mpira ni mchezo katili anything can happens……,,,LAKINI Brazil anasifa zote za KUSHINDA hii game kwa asilimia kubwa sana

Mfuate mazima mkuu
Au mfuate atafuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…