Au tu press kianzia kiwe buku 5 kwa siku 5 roll ovaThat's what I mean, we only need 2 sure Odds for Rollover of 5 days only for 2000 to get 1m+ for 5 days kama tukiwa na mikeka miwili daily au 10 days tukiwa na mkeka mmoja kwa siku.
Naomba code ya usiku huu Helabet niweke hata 10k, kuanzia odds 2Au tu press kianzia kiwe buku 5 kwa siku 5 roll ova
Badala ya buku 2
Tutoe mkeka 1 tu kwa siku wa odds 2 au tutafute odds 1.5 mara 2 kwa siku 1 sawa na odds 2.25 surely kwa siku
Nakubali ndugu yangu, hata wanafunzi huwa wanaweka miguu kwenye maji usiku kwa ajili ya kukabiliana na Mtihani. Mtihani upo mbele yetu na tupo tayari kukabiliana nao, na Mtihani wenyewe ni Kanji tu wala hakuna mwengine.Siku ya 10 hap ni 2M.
Hii challenge naipitisha already accepted.
Kwqnza tukianza na better and safe opt.
Ni kona kwa upande wangu.
Mara nyingi mechi huwa na kona 6 kutoa huwa n uhakika zaidi.
Kona 6 ukiomba kwa match n odd 1.3
Hapo ukiws na match 3 za odds 1.3 tayari odds 2.1
Vyema kabisa...!Best opt yangu kwa challenge ya odds 2.1 za siku
1)kona ova 5.5 or 6.5 kwa odds 1.3 match 3 sawa na odds 2.1
2)Mechi za usiku mnene hususani america na brasil kuomba GG au ova 1.5 kwa match 3 za huko ni uhakika kupata odds 2.1
3)Mechi za mchana za ligi ya ethiopia na za africa kuzuia goli 3 mfululizo hii opt n mechi 5 inakuwa na odds 2.1 uhakika wa kutoa ni 90%
4)Kubetia basketball winning margin mechi 1 huws ni odds 2 plain.
5)Betting ya basketball points hususani 3 points hii mechi 2 huwa na odds 2.5
6)Kubetia matukio ya world cup maana zimesalia mechi kama 10 mashindano kuisha
Mostly matukio ni
Keper to touch ball odds 1.6
First to happen throw in odds 1.5
SUb to receive card
Sub to score
Head goal
Etc...
Sawa, nami pia napendekeza Sportybet coz ni app pendwa kwa Wawekezaji wengi. βπΎMkuu, kwa kuongezea naona best app kwa roll ova ni 1xbet na sportbet
Maana hawa wana cashout isje tokea siku tumefikisha 1M afu mjinga 1 anakuja kuunguza na hapo umetumia helabet hakuna ku cash. So napendekeza tutumie 1xbet na sportbet
Kama utaweza ku-maintain hizo Odds 3 mpaka 4 ni sawa, ila sisi tunachopendekeza Rollover yetu iwe Only 2 Odds for 10 days, unless ikiwa twice for 5 days will be much better. Tuachane na hizo Odds kwenye ma-group ya watu, tu-deal na Odds kwenye site yetu bro...!Ni kuanza kwenda na matukio tu, afu tusiweke tamaa mkeka 1 wa roll ova au mkeka 1 wa siku odds 3 au 4.
Yaani tukiwa na spirtiy hii tunatoboaa
Hizi odds kwenye magroup ya watu sherehe sasa sherehe tuhamishie humuu
Vyovyote ni sawa tu, kikubwa wawekezaji warudishe machungu kwa Kanji kwa wakati mmoja coz ametufanyia kifu kibaya sana, tunahitajika nasi kumfanyia kitu kibaya zaidi ya alichotufanyia.Au tu press kianzia kiwe buku 5 kwa siku 5 roll ova
Badala ya buku 2
Tutoe mkeka 1 tu kwa siku wa odds 2 au tutafute odds 1.5 mara 2 kwa siku 1 sawa na odds 2.25 surely kwa siku
Kama umependekeza hizo kampuni 2. Mi napendekeza tutumie Sportybet kiongozi...!Na tutafute apps maalumu basi.
Kesho wadau watoe mapendekezo tutumie
1xbet au itumike sportbet.
Na tukipiga mshindo jukwaa na uzi wetu utakuwa wa moto sanaaa
ππΎππΎππΎNimewasoma sana wakuu,
Kuhusu app me napendekeza iwe sportbet.
Kuhusu amount hapa nafikiri Kila mmoja aweke kiasi anachoweza kupoteza bila kuathiri kipato chake.
Hii kazi tuanze kesho tupo nyuma ya muda.
Tusisubiri maoni mengi ya wadau tutapoteza muda kwa sababu maelezo ambayo mmeyatoa hapo juu yamenyooka sana na kama Kuna maswali basi yameshajijibu kutokana na maelezo hayo.
Kesho tuanze wakuu wekeni code hapa, Wengine watatukuta mbele ya safari
Hii imekaa unyamaa sema humu kuna watu watadhani ni mtego.Lakini pia, kwa nyongeza tu kwa niaba ya Wadau kwa nini tusiunde Group letu la WhatsApp...? This is for Instant messages coz watu wengi hawapati Instant Messages kama tunavyopata Whatsapp ukilinganisha na JF. Hii ipo sawa au mnaonaje wadau...?
Nimewakosa nba zilikuwa odds 17,ila nilikuwa natest mitamboOdds 11 basketball
Ila roll ova yangu n hiyo mechi ya conective
Unda group kaka,share na link humuHii imekaa unyamaa sema humu kuna watu watadhani ni mtego.
Nasemajee?? Tuki boom mara 1 tu hizo siku 10.
Wenyewe watarukia group.
Mimi naona odds zitolewe hapa kwa siku 10.mfululizo afu zikileta matokeo huduma isitishwe wasap au telegram,hapo watajaa wenyewe tu
Hapo ungekuwa addmin wa waekezaji kwa hizo odds 1.6 mara 1.7 kwa kila mechi ungemwagiwa sifaaπ, tumeanza challenge ya odds 2. Kwa siku roll ova ya siku 10 au 5Jana
Nimewakosa nba zilikuwa odds 17,ila nilikuwa natest mitambo
Mimi.sina group kkUnda group kaka,share na link humu
πππ kaka mimi nipoo naisubiri hiyo roll ovaHapo ungekuwa addmin wa waekezaji kwa hizo odds 1.6 mara 1.7 kwa kila mechi ungemwagiwa sifaaπ, tumeanza challenge ya odds 2. Kwa siku roll ova ya siku 10 au 5
AMimi.sina group kk
Pia uwepo wa magrpup watu wanaweza kudhani mtego.
Hii challenge ikifanya vyema nakuambia group likifunguliwa watajoin tu
Wadau wamependekeza sportbety.πππ kaka mimi nipoo naisubiri hiyo roll ova