Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naamini group Leo LITAKUA tayar
 
 
Hakika Leo group Liundwe ni wakati wa kufanya kwa vitendo wakuu
 
Mimi naanza na roll ova yangu kwa mfa hai,kama huu hapa
Naweka sh 100 hela bet.
Nikiwa na target ya kufikisha 2M

Nachukua team 1 tu.
Leo naanza na basketball
Ngoja niwwke mkeka wangu hapa
Japo.kesho nitaweka 10K katika hii roll ova
Sikukatishi tamaa ila hakuna jipya ambalo halijawahi kujadiliwa humu.

Nakukumbusha hakuna aliyewahi kula/kumpiga kanji mara 10 bila kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…