Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu,, manina Nashville na New York red bull sifanyi nao tena kazi an wenzao wote wamepata magoli wao wanaenda buyubuyu wahuni sana hawa jamaa
Haya mambo hayana mwenyewe haya ..... Majuzi alininyima PSG kupata tu goli , juzi CSKA kupata tu goli mtihani akawekwa yeye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…