Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakamaria wa sports betting, vita yetu ni ngumu.
-Tunapambana na bookmakers kubana options
-Tunapambana na bookmakers kuweka odds kiduchu kwenye option unayoona itakutoa
-Tunapambana na advanced data bots
-Tunapambana na mechi kwenda ndivyo sivyo (red card, majeruhi n.k)
-Tunapambana na match fixing
-Tunapambana na asili mbaya (visivyoonekana) kwenye ulimwengu wa kamari

Vitu vyote hapo juu vikichanganyika. Betting inakuwa ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…