Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Sub hata isipofanyika haichani mkeka.

Mkeka utachanika pale tu itapotokea mchezaji aliyeingia kutoka sub akafunga goli.

So mechi ikiisha kwa matokeo yeyote haitachana hata kama ni 0-0
Basi hii option ni tamu sana mkuu.
 
Jana hizi option zote na ile ya timu kubwa kushinda 1H yaani Arsenal zilitoa. Je leo Ma u wanaweza!
 
Your browser is not able to display this video.

Kwenye kujaribu hii option.... Zile timu za kushinda kabisa unasema tu yeyote afikeshe goli mbili .... Wakachana hao wawili katika 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…