Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wataalam nawezaje kuweka pesa sportybet kwa kutumia namba ambayo sijafungulia account na pesa ikaingia
 
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake .....😁😁😁😁 Kuna mwamba hapa kacheza kashima antlers wapate goli .....wamejifunga .,.. jamaa anauliza inakuwaje hii ....mi nikamjibu goli lipo upande gani .... Sasa kosa langu nini....
 
Betting ni hesabu tena kali
Betting ni pata potea kiongozi
Tuenjoy tu kuweka mikeka 😁
Kazi na utu
 
wataalam nawezaje kuweka pesa sportybet kwa kutumia namba ambayo sijafungulia account na pesa ikaingia
Nenda menu pale kwenye namba ya kampuni weka ile ya Sportbet then namba ya akaunti weka namba yako ya simu ile ya sportbet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…