Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anayesema odds 2 ni rahisi naomba alete siku 7 mfululizo zikitiki zote nitampa 450,000 hata kwa mwanasheria tuandikishane. Hii kazi nina miaka nane sijawahi kufanikisha kushinda mfululizo siku 7 kwa uhakika, nilishinda mara 9 ila kwa kubahatisha tu na kuponea chupuchupu mikeka inatiki dakika ya 94
 


My point ni kwamba, uwa simwelewi mtu akishangilia kushinda odds mbili, because kushinda odds mbili ni 99.9.9% hasa kama unajua kucheza kwenye ligi kukwa na timu kubwa

Nimekupa mfano, getafe always mpe 4.5, Barcelona mpe kona au over shots,

Man city man united wape kona au shots

Unakosaje odds mbili wiki mzima ?

Labda unambie unacheza kwa 1 X 2
 
duuh
 
Basi ondoa shaka amekusikia mkuu upo sehemu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…