Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kitambo sana jamvini nimerejea rasmi sasa kama kawaida yetu kama mnavyojua sinaga kazi mbovu we back again.

Leo nakuja na odds 7+ uhakika andaa zako stake kampuni betpawa.
Nitawaonesha pia na mimi stake yangu ili msidhani kuwa nawapanga.
 
Shereemaya upoooo

Nyingine hiyooo

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Mkuu unaupiga mwingi,, nimeruka nazo nimepata chochote kitu.. Leo tena fanya mambo
 
Shereemaya upoooo

Nyingine hiyooo

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Tume boom mkuu japo niliweka stake ndogo lakini imekuza mtaji kwa ajili ya leo.
Umetisha mkuu
 
Mkuu unaupiga mwingi,, nimeruka nazo nimepata chochote kitu.. Leo tena fanya mambo
Pamoja mdau

Ngoja tuone,tupo Ofisini
Maana Weekend mafaili mengi sana,Kuna Wauza Mechi mafaili yao nayapitia,kuna Makocha Wakamaria nao faili zao zipo,vita ngum,ila tunaenda nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Narudi with Codes then kwenye utata mtu ata digest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…