itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣🤣🤣Kweli mkuu lakini jana nilikuwa na stake ya mwisho kwenye account kwahiyo haikufaa kwenye jaribio hiyo inanoga siku account imejaa unaweka ten harafu kama utani tu sio mkeka wa kuutolea macho sana.Penye Big Risk ndipo penye Big results kaka
🤣🤣🤣Sure mkuu mimi sikuhizi siwekagi under,nilikosa utajiri inter alimbabua mtu goli sita sitosahau na yeye alipigwa mbili an vurugu tupuTena unakuta hizo goli 2 zimeingia ndani ya dakika 20, hapo una kazi ya kubana pumbu kwa dakika 70 lisiingie goli yaani u unakuwa kama unauguza mgonjwa wa ukimwi wa miaka ya 1999.
Mkuu tunapigika wengi tu badirisha formula kama ukiweka odds bwanga stake modo jaribu kufanya kinyume chakeWakuu imefikia kipindi nimtafute IT niingie darkweb kama zipo sure odds nifanye kazi maana mtaji umeanza kudhorota.
🤣🤣Jamaa alikuja kwa moto kwamba odds mbili hachani anatushangaa tunalost odds mbili aloo jamaa muhuni sana anaongea kama mtotoYule wa odds uhakika leo haonekani aliniquote na code ya sportybet niliicheck nikaona mechi kama mbili hivi kaweka under nikaupotezea ila kuna waliufuata wanasema umechanika 😅😅
Yeah man hakuna options isiyochana na hakuna odds isiyochana, hakuna sure odds 📌Tunakumbushana tu, stake what you can afford to loose, hata Option yenye Odds ya 1.02 inachana.
MkuuMkuu tunapigika wengi tu badirisha formula kama ukiweka odds bwanga stake modo jaribu kufanya kinyume chake
😂😂😂😂🤣🤣Jamaa alikuja kwa moto kwamba odds mbili hachani anatushangaa tunalost odds mbili aloo jamaa muhuni sana anaongea kama mtoto
Usijari mkuu mimi nimepigwa sana week iliyopita na hii,, Madrid ile mechi aliyopigwa angesuruhu ningekula laki saba niliweka laki nne,,sijapumua vizuri fenerbahce apate goli moja nikaliwa laki,sijakaa sawa mechi ya trabzospor ile ya wakina salar wapate goli nikapigwa,,sijakaa sawa wale waarabu walipigwa chuma bila kupata goli,, kwahiyo kama kupigwa ni basic needs tu,,,lakin nashukuru ilikuwa pesa yake sikuwahi deposit nilikuwa naliwa pesa niliyomla ni balaa mkuuMkuu
Yaani kama juzi PSG kashindwa pata goli 2 mwenzie city kushinda akiwa na red nimepigwa 150k kisa yeye.
🤣🤣Dah jamaa jau sana yule😂😂😂😂
Yule hajui kitu tu msamehe hajui maana ya URAIBU kuna mdau humu 2017 alitupa kisanga ni shida.
Kesho naona itakuwa njema sana inshaalah ila tukumbushane game za kwanz baada ya break tukanyage kwa stepMkuu
Yaani nimeharibikiwa hela ya BOKSA ntashindwa ila muhindi na watoto wake waneemeke.
Natamani kesho niweke mzigo nikipata japo nipoze machungu.
🤣🤣🤣Kweli mkuu lakini jana nilikuwa na stake ya mwisho kwenye account kwahiyo haikufaa kwenye jaribio hiyo inanoga siku account imejaa unaweka ten harafu kama utani tu sio mkeka wa kuutolea macho sana.
Rudi hapa mzee tunasubiri odds mbili za uhakikaNimeanza kubet kwenye makaratasi kabla online hazijaanza, eeh una swali lingine?
Huyo Kanji inategemea unabet options gani? Kwamb man city vs Norwich dakika 90 hamna kona Hamna faulo, hamna shot over?
Madrid anakosaje offside? Barcelona anakosaje kona? Getafe anafungaje goli 5+?
Yan me sielewi odds mbili unakosaje
Unless unacheza 1 X 2 hapo sawa
Umenikumbusha game ya Trab ya kina salah waliyoloose walishindwa kupata hata goli 1 nilikosa mia7 kwa stake mbuziUsijari mkuu mimi nimepigwa sana week iliyopita na hii,, Madrid ile mechi aliyopigwa angesuruhu ningekula laki saba niliweka laki nne,,sijapumua vizuri fenerbahce apate goli moja nikaliwa laki,sijakaa sawa mechi ya trabzospor ile ya wakina salar wapate goli nikapigwa,,sijakaa sawa wale waarabu walipigwa chuma bila kupata goli,, kwahiyo kama kupigwa ni basic needs tu,,,lakin nashukuru ilikuwa pesa yake sikuwahi deposit nilikuwa naliwa pesa niliyomla ni balaa mkuu
Rudi hapa mzee tunasubiri odds mbili za uhakika