Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Balaa tupu mkuu kwahiyo tunapigika lakini tunakomaa kwa sababu tumetaka wenyewe huruma sio Malezi hatupaswi kutia huruma,,
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 5

CODE : 50C6QR

Tuonane Usiku

View attachment 3673223

5 ODDS
BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 3

CODE : 50UYFZ

Tuonane Usiku

View attachment 3673227

3 ODDS

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯
 
HAYA kwenye Mfumo WETU Sasa

SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS : 2

CODE : 654GDQ

Tuonane Usiku

View attachment 3673238

2.24 ODDS za KWANZA

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS: 2 extraaaaaaa

CODE : 65TLD0

Tuonane Usiku

View attachment 3673245

2.34 Extraaaa ODDS

BOOOOOM πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
54RDCE Sportbet boooooom πŸ”₯

Haya leo nimewaonesha wazee wa odds mbili, narudia tena uwa simwelewi mtu anabet odds na akishinda anapiga makelele, odds mbili ukikosa ndio upige makelele
Dalili za MIMBA ya Wema Sepetu zilianza hivi hivi kama zako

Ila ukijifungua AKILI zitarudi

Halafu hii sio Page ya Mipasho kama Mtoto wa KIKE

Kila mtu aweke ODDS anavyotaka maana hakuna mtu anamtafutia mwenzie PESA ZA KuBET

Na sometimes akili ya mtu utaijua kwenye content za anachoongea

Weka CODES unavyotaka Maisha yaendelee, Mipasho mwachie Zuchu
 

Next time usome umri wa kujiunga jf,

Na pia kabla ujajibu hoja ya mtu kwanza usome huko juu kulikuwa na hoja gani, sio unakimbilia tu

And nikukumbushe tu hili sio jukwaa la kutafuta wapenzi
 
haka kamchezo ka kiwaki sana... Nimekafanyia uhuni ...nimechagua mabomu yawe mawili ... Ukichagua nyota Sasa Mimi nacheza nyota nne mwisho 5... Nimejaribu KUANZA na jero ..nimefika buku3 ... Ilaaaa katanipuliza huko mbeleni ngoja tuone ...yaani hapa ni Kila sekunde 10 unaliwa au kula ... Mamaaaaaaeeeee
 
Mjadala mpana sana humu.
Kila mtu anashinda kutokana na anavyotaka yeye.

Na kila mtu anabakwa na kanji kwa namna aliyochagua.

Aliyeshinda odds 2 hata 1 n kafikia malengo yake.
Na aliyeshinda odd 10 mara elfu n kafikia malengo
.wote humu adui yetu 1 ambaye n kanji.
Apigwe kwa namna yoyote ile.

Unamsema aliyeweka odd 2 aka stake 1M aka win 2M faida 1M.

Halafu wewe umeweka buku au jero kwa uka win odd 100 kwa kupata elfu 50 au uka win odd elfu 1 ukapata laki 5.
Nani aliyepiga mshindo wa maana??

Wawekezaji wa odd 2 au 1 msivunjike moyo.
Na kama mtu anajua anaweza kuleta odds 2 za uhakika asiwe na choyo aweke kwa wenye uhitaji nazo.

Na kama hauwezi basi kaa kimya kuliko, odds hutoi kazi kuwaponda wenzako hii haijakaa sawa.
 
WawekezJi wa odds 2 njia rahisi ya kuzipata ni kws hizo opt msivunjike moyo.
Ukiwa na team 2 au 3 tayari umefunga odds 2

Kwa sportbet njia rahisi ya kupata odds 2 hadi 3 ni
No 3 goal in row
Assist 1+
Mechi 3 tayari odds 2
 

Attachments

  • Screenshot_20260917_070746_Helabet.jpg
    164.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260913_064129_Helabet.jpg
    144.3 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…