Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


I think hoja haikueleweka, na hiyo ishu ya odds mbili me ndio nilisema,

Hoja yangu nilisema nashangaa na sielewi mtu akibet odds mbili akapata akashangilia because unakosaje odds mbili? Me nadhan ukibet odds mbili na ukakosa hapo ndio unatakiwa useme,

The way options zilivyokuwa nyingi unakosaje odds mbili? Unless unabet 1x2

Na jana nimetoa mfano odds mbili nimeweka na zimetoa

Hata leo naweza kuweka na zitatoa because ni easy kuwin odds mbili
 
Wakuu punguzeni mipasho ndani hapa hili sio jukwaa la masemango ni wawekezaji.tupunguze ujuaji naona toka juzi humu kumekuwa kama kuna ushindani wa hovyo usio na manufaa.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-09-19-12-29-16-556_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    97.7 KB · Views: 12
Wakuu punguzeni mipasho ndani hapa hili sio jukwaa la masemango ni wawekezaji.tupunguze ujuaji naona toka juzi humu kumekuwa kama kuna ushindani wa hovyo usio na manufaa.
Haswaaa NEW COMERS anatafuta KIKI za kizamaniiiiiiiiiii

Leo WEEKEND siku ya CODES kumwagika mtu analetwa UZAMWAMWA

Haya Wadauuuu CODES zimwagikeeeeeeeee


Mwanga CODES
Mwanga CODES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…