Bila shaka ni sportpesa, hawatoi cashout kirahisi utafikiri unaomba mkopo au msaada.View attachment 3688652 oya mbona hawanipi cash out nataka nikachukue Malaya wa bei rahisi 3,000 kimboka maana hautoboi hii mechi iliyobaki
Jackpot ya Sportpesa!jackport gani nzuri?
Wangenipa hata chashout ya nilichostake tu nipitie kimboka pale maana mechi ya Cadiz goli 3🤔Bila shaka ni sportpesa, hawatoi cashout kirahisi utafikiri unaomba mkopo au msaada.
Ai leo siku ya 2 inanifurahishaMkeka wa AI huo. Umenipa odds 7
Safiii mkuuAi leo siku ya 2 inanifurahisha
💥 💥 💥 💥 💥 boooomBado game 1 pekee
Ulikua odds ngapi💥 💥 💥 💥 💥 boooom
4Ulikua odds ngapi
Hili linaenda siku ngapi?
Miezi 9...! Kama Mimba mkuuHili linaenda siku ngapi?
Mh inamaana likipoteza uelekeo mtoto anakua wa nje ya ndoa?Miezi 9...! Kama Mimba mkuu
Tupe code tustake.Hivi izi game za uefa zote kumi na nane ukiweka interval ya 10 min draw ukastake muhindi atumuumizi kweli hapa.
Hao wazee naona kama 10 min ni nyingi sana, labda dakika 5 au tujaribu kwa maana wengine hata dakika 5 unakuta wameshashonana 1 tayari...! Labda tujaribu mzee baba.Hivi izi game za uefa zote kumi na nane ukiweka interval ya 10 min draw ukastake muhindi atumuumizi kweli hapa.
Shusha codes mzee wa kazi...!
Kumi tu bwashee hii ya dakika 5 odds zake ni chache huwezi kupata pesa nzuriHao wazee naona kama 10 min ni nyingi sana, labda dakika 5 au tujaribu kwa maana wengine hata dakika 5 unakuta wameshashonana 1 tayari...! Labda tujaribu mzee baba.