Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya matapeli kama hilo goli moja linawashinda watoke niingie mimi.
 
Mimi nilishangaa sana Madrid kuchukua Mourinho. Kocha anafukuzwa mpaka fenerbahce.
Halafu wao wanaenda kumuokota
 
Niliwaambia yupo Haaland


Your browser is not able to display this video.
 
Stuttgart hii ndio ije ifanye biashara na Simba kuhusu mambo ya mpira?

MO inabidi atafakari upya uamuzi wake.

Yani yeye na mwenzie wanazungusha sketi tu. Hilo goli moja tangu wafunge limesimama hapohapo kama Bismini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…