Kuna mtu alisikika akisema ma refa na wachezaji nao Huwa Wana bet.Betting usenge ukiweka dau dogo unapata hela tena odds hata 100 unakula.
Uki stake mpunga mnene mkeka unachanika.
Inakata stimu kinoma kuna muda.Endeleza mapambano tu
Kesho nayo ni sikuNaona wadau wote wamekimbia, kweli muhindi anatoa vichapo vitakatifu..
House always winsBetting usenge ukiweka dau dogo unapata hela tena odds hata 100 unakula.
Uki stake mpunga mnene mkeka unachanika.
huwezi kula....results are not random, they are predetermined by Betting Mafia CartelsTubadilishe mbinu , sema hii betting ipo controlled wakuu.
Ingekua mitindo huru kama tunavyofikiri tungekuwa tunakula sana.
Aisee mbona sasa tunachezeana michezohuwezi kula....results are not random, they are predetermined by Betting Mafia Cartels
Si kweli, kwa ligi za mbele ni ngumu sana .Kuna mtu alisikika akisema ma refa na wachezaji nao Huwa Wana bet.
Kwaiyo hii kazi ni ngumu
Mimi naamini nguvu ya ziada inatumika zaidi demonic power za Asmodeus and mammon.huwezi kula....results are not random, they are predetermined by Betting Mafia Cartels